Samahani nlikua naomba msaada wa kufahamishwa kujua gharama ya maji yanayosambazwa na hayo magari like uwa ni ujazo gani na gharama yao ni shilllingi ngapi?
Samahani nlikua naomba msaada wa kufahamishwa kujua gharama ya maji yanayosambazwa na hayo magari like uwa ni ujazo gani na gharama yao ni shilllingi ngapi?
Mkuu inategemea na wewe unataka maji kiasi gani na maji kwa ajili ya nini, mimi nina truck ndogo inabeba lita 3,000. bei ni Sh 50,000 kwa maji ya kunywa ya bomba. Ukitaka kwa staili ya tenda (daily service tunaweza ongea nikupe punguzo)