Magari ya Kizamani Unayakumbuka?

Magari ya Kizamani Unayakumbuka?

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,351
Reaction score
13,140



Isuszu Injection Tipper bado zipo kwenye Game zinapiga mzigo bila wasi wasi Model ya Mwaka 1979 Bongo nyingi ni kubebea Maji Masafi

1378732179_543861175_1-Ten-Ton-tipper-Kiambu.jpg

1375787887_534447045_2-Pictures-of--Bedford-J6-tipper-on-sale.jpg

Kitu Bedford Binua Mchanga!
 
da noma sana hizi vitu.....cjaona jeifang hapo
 
Waliosoma Tosamaganga sec watakuwa wanaikumbuka hiyo no 3 i
 
Mwenye zaile 504 na 505 ambazo zilikuwa maarufu sana Arusha enzi hizo atuwekee photos hapa!
 
Voxwagen Beetle [mgongo wa chura] Ford Anglia [kibyongo]
 
Nini picha Bana!
Nenda Mkoa wa Kilimanjaro hasa wilaya zenye Wachaga;
Utakutana na magari mengi ya kizamani hasa Toyota Enye Nguvu (Toyota Stout) old model.
Pijot kuanzia 201 na kuendelea
Na mengine mengi.
Mbaya zaidi bado yanapiga mzigo kwa kwenda mbele.

Bazazi!
 
Back
Top Bottom