Luushu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 891 Reaction score 537 May 26, 2021 #41 Jick said: Binafsi ndio maana nimeamua kumpuuza, Huyu kama huduma zake hivi wakati anatafuta wateja itakuaje kama atawapata?? Click to expand... Huyu jamaa tumpuuze maana biashara haitangazwi hivyo kificho kificho tuwe wapole huu mfumo utaenea tu
Jick said: Binafsi ndio maana nimeamua kumpuuza, Huyu kama huduma zake hivi wakati anatafuta wateja itakuaje kama atawapata?? Click to expand... Huyu jamaa tumpuuze maana biashara haitangazwi hivyo kificho kificho tuwe wapole huu mfumo utaenea tu
falcon mombasa JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 9,213 Reaction score 9,334 Jun 1, 2021 #42 Waambie kabisa gharamani milion na laki nane .na full tank gas hutembea kilomita 240.baada ya hapo atatakiwa kujaza tena au abadil mfumo aanze kutumia mafuta
Waambie kabisa gharamani milion na laki nane .na full tank gas hutembea kilomita 240.baada ya hapo atatakiwa kujaza tena au abadil mfumo aanze kutumia mafuta
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,312 Reaction score 109,411 Jun 1, 2021 #43 Bendanda said: Mtungi kukaa kwenye buti! kiusalama imekaaje? Najaribu kuwaza hata tenki la Perol lingekaa ndani ya buti ingekuwaje? Boresheni zaidi kwa usalama zaidi Click to expand... Sipati picha gari imepaki juani, na mtungi wa gesi ndani. Iyo show yake sio ya kitoto likilipuka
Bendanda said: Mtungi kukaa kwenye buti! kiusalama imekaaje? Najaribu kuwaza hata tenki la Perol lingekaa ndani ya buti ingekuwaje? Boresheni zaidi kwa usalama zaidi Click to expand... Sipati picha gari imepaki juani, na mtungi wa gesi ndani. Iyo show yake sio ya kitoto likilipuka