Magari ya gesi CNG

Mtungi kukaa kwenye buti! kiusalama imekaaje? Najaribu kuwaza hata tenki la Perol lingekaa ndani ya buti ingekuwaje? Boresheni zaidi kwa usalama zaidi
Mkuu, kwa magari madogo, nenda kwa hao jamaa, au DIT, au COET-UDSM, wanakofunga hiyo mifumo kwenye gari. Google au YouTube CNG installation kwenye magari madogo, huko ndiko mtungi wa gesi unakaa. Hiyo mitungi ni maalumu kwa hiyo kazi. Ingia YouTube na tafuta 'mfumo wa gesi kwenye magari', utapata videos toka Chuo cha DIT na ujifunze khs huo mfumo.
 
Ukiona mtu anafichaficha kwenye mambo ya msingi yanayoolhusiana na matumizi ya pesa fahamu kua ukanjanja mwingi hapo.

Kama kweli biashara yako siyo ya kidalali na kitapeli kwa nn usiandike kwa kujazia nyama sana na kutoa mfano wa gharama kwa magari walau mawili yenye ukubwa na uwezo tofauti ili mtu aweze kujipima ?
Nimeweka number za simu hapo whatsap na calls. Kila gari inaspecification zake mkuu.
 
Asante
 
Kwenye pikipiki na bajaji inaweza kufugwa ?
 
Binafsi ndio maana nimeamua kumpuuza, Huyu kama huduma zake hivi wakati anatafuta wateja itakuaje kama atawapata??
 
Vipi kwenye Mabus kama Eicher Tata Hiace na Coaster na Civilian ? engine Diesel kama inawezekana nahitaji
 
Nimeweka number za simu hapo whatsap na calls. Kila gari inaspecification zake mkuu.
Namba za simu hazitoshi....wewe unatangaza biasha halafu wateja waanze kuweka vocha kwa gharama kuwatafuta ili muwape deatails..?
Fafanua vizuri kama wadau walivyoomba
 
Umeongea sahihi kabsa mkuu kwann anataka sana mtu azame inbobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…