Magari used yanayouzwa hapa bongo na yanayouzwa huko nje yanautofauti gani?

Saytoti

Senior Member
Mar 7, 2014
181
61
Magari used yanayouzwa hapa bongo na yanayouzwa huko nje yanautofauti gani?
 
Yote ni Used cars. Bongo ni scrapper zaidi kwani mengi yanakuwa hayatumiki na kutuzwa inavotakikana
 
Tofauti ni kuwa magari used yanayouzwa bongo ni magari ambayo yalishatumika na watu wengine kwenye nchi za kishua kama Japan, us, na uk kwa muda then baada ya kuona wameshayachoka wanaamua kuuza kwa nchi nyingine kama tz, kenya na uganda kwa bei nafuuu
 
Ukinunua used bongo manaake ni mtu wa tatu. Sijui itakua "third hand?"

Kama huyu wa bongo alinunua second hand japan/dubai/europe.

Na ndio maana magari used watu wanayoyapenda ni yale ya serikali na mashirika makubwa tu kwa sababu kuu mbili
1:hao ndio wananunuaga gari mpya mara kwa mara(japokua siku hizi kuna watu binafsi wananunua mapya pia)
2: hao ndio wako makini katika utunzaji na matumizi mazuri(service na matengenezo)
 
Baadhi ya magari yanayouzwa bongo hana walakini tofauti na kuagiza used abroad. Bongo wanachakachua engine, mileage na spare parts. So unaweza kununua in some few days unaanza kunyolewa kiduku garage
 
Back
Top Bottom