real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Katika kisiwa cha Tumbatu, Zanzibar hakujawahi kuonekana gari. Wakazi wa kisiwa hicho cha watu 20,000 waliowahi kuona gari ni wale waliobahatika kutoka nje ya kisiwa hicho, wengine huyaona pichani na kwenye runinga.
Serikali inasema kuna changamoto nyingine a kupewa kipaumbele kuliko ujenzi wa barabara
Wazee wa Tumbatu wana hofu ujenzi wa barabara utapelekea kukua kwa biashara ya utalii ambayo ingeathiri utamaduni wa kisiwa hicho, Tumbatu ni moja ya visiwa vikubwa Zanzibar baada ya Unguja na Pemba