Yamelipiwa ushuru kabisa?
RAV 4 2002 zipo?
Hiyo kruger cc ngapi?
Bei nafuu sana....
Toyota costa '93- 29m
Toyota corona premio-9.5m
Vitz 2000-8m
Ist 2002-12m
Kruger-19m
Prado '01-33m
Carina TI 7.5m
Na kadharika.... Serious buyers please ni-pm!!!
Naweza ona picha ya Costa?
Nipe bei ya
-Verossa nyeusi-
-Wizard-
-Bighorn-
-Noah ya kizamani 4wd good looking-
Pia nipe utaratibu wa kuipata gari!
I mean how long?terms payment?
Kwahiyo hizo nyingine hazipatikani?nipe picha ya hiyo Noah!Mkuu ipo Noah ya mwaka 98 ni 10.5m. Terms ni kwamba you pay in advance then you get your car after 3wks!!
Kwahiyo hizo nyingine hazipatikani?nipe picha ya hiyo Noah!
Ntakuwekea my email kwa PM.
Pia nataka kujua nini dhamana yako kama nikitoa advance?
Carina Ti ya mwaka gan na cc ngap?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mkuu, TI ya mwaka gani kwa bei hiyo?
Nipe bei ya
-Verossa nyeusi-
-Wizard-
-Bighorn-
-Noah ya kizamani 4wd good looking-
Pia nipe utaratibu wa kuipata gari!
I mean how long?terms payment?
Naweza ona picha ya Costa?