Magari 300 ya jeshi

Magari 300 ya jeshi

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,202
Reaction score
11,351
Nakumbuka mgomo uliopita tulipata taarifa kuwa jeshi liliandaa magari 300 ili kuukabiri huo mgomo. vipi sasa yameshaanza kazi?
 
hizo ni habari za kufikirika tu!
 
walipokuwa wanaahidi walidhani kwamba mgomo wa madereva hautajirudia tena. yaan sasa wameumbuka. Maana sioni hata basi la jeshi ambalo linasafirisha abiria kama daladala.
 
Nilifikiri yameshaingia barabarani nikataka nimpigie jamaa yangu amekwama Dar kumbe swali mkuu
 
migomo si mwisho wa dunia vijana,migomo ipo tu
 
Yatakwenda wapi na wapi? maana mgomo ni nchi nzima! kuanzia daladala mpaka mabasi ya mikoani, sasa hayo 300 yatatosha?!
 
Nakumbuka mgomo uliopita tulipata taarifa kuwa jeshi liliandaa magari 300 ili kuukabiri huo mgomo. vipi sasa yameshaanza kazi?
Mkuu yakianza kazi tujuzane mimi nataka kuwa konda.
 
hayatoshi hata kama ni kweli...
 
Sasahivi zimetoka Dar express nne tu kwenda Arusha, mengine lini!?
 
Magari 300 hayatoshi+madereva watatoka wapi wakutosheleza??
 
wapi na wapi kutumia jeshi kila mgomo! ma dr wagome jeshi, wapiga debe wagome jeshi, madereva wagome jeshi, wakina mamam wagome home jeshi, Jeshi nalo linajidhalilisha!!!!
 
Back
Top Bottom