Maganga wa CWT anagoma au anaonewa?

John kalunguyeye

New Member
Mar 10, 2021
1
5
MAGANGA WA CWT ANAGOMA AU ANAONEWA? (SEHEMU YA KWANZA)

Na Mahemba DC
Dodoma

Hivi karibuni kumeibuka taharuki kila Kona kuwa Maganga katibu mkuu wa CWT kagomea kila kitu Cha serikali U DC na kurejea kwa Mwajiri wake wa awali Temeke.

Sasa niombe ufuatane nami katika makala hizi fupifupi Sana zisizo za kusho nawe uniambie Kama Maganga anagoma au anaonewa.

kwanza tumfahamu huyu Maganga na safari yake kisiasa ndani ya CWT.

Na ieleweke kuwa Mimi Ni mchambuzi wa maswala ya CWT na safari za viongozi ndani ya chama hiki na situmwi na mtu na nitakachozungumza hakina chumvi hata kidogo.

Maganga aliajiriwa chama Cha walimu Kama mhasibu wa kawaida tu chini ya utendaji wa mzee Yahaya Msulwa katibu mkuu wakati huo mwaka siujui anaujua yeye Maganga.

SAFARI YA KISIASA

Maganga aligombea uwekahazina wa Taifa mwaka 2015 pale Ngurudoto wakati huo Mimi nikiwa mwenyekiti wa wilaya ya Chamwino, ingawa alitokea Temeke akiwa mwekahazina wa wilaya lakini alikuwa mgombea mwenye uthubutu lakini kura hazikutosha.

Mwaka 2016 nafasi ya mwekahazina wa Taifa ndugu Utaly ilibaki wazi baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya mpwapwa Kama sijakosea uchaguzi ulipotangazwa Maganga Japhet aligombea tena na Ni katika kipindi hicho aliibuka kuwa mgombea tishio na mwenye mvuto akitokea nje ya baraza ,,ikumbukwe kuwa uchaguzi huo ulifanyika BZ pale Morogoro katika Baraza la Taifa Mpinzani mkubwa wa Maganga akiwa Abubakal Alaawi mjumbe wa baraza akiwakilisha Kanda ya Pwani akiwa mwekahazina wa Mkoa wa pwani hakika Maganga alikuwa mgombea tishio waliokuwa wajumbe wa Baraza Hilo watakumbuka mjumbe kutoka nje ya baraza kumtoa jasho mgombea ambae Ni mjumbe wa baraza si kazi ndogo hata hivyo alipoteza kwa tofauti ya kura kumi ama ishirini hivi.

Baada ya hapo ndipo aliajiriwa chama chama Cha walimu Kama mhasibu na ikumbukwe kuwa Maganga Ni Certified Public accountant (CPA)aliajiriwa kwa mkataba wa kudumu na hii Ni tofauti na mikataba ya watumishi wengine Kama Makatibu wa wilaya au mikoa na Ni tofauti na ilivyokuwa kwa mtangulizi wake Deus Seif ambao Hawa huwa na mkataba wa muda tu kwa miaka mitatu mitatu au mitano kwa nafasi za kitaifa

Mwaka 2020 Maganga Japhet aliamua kugombea unaibu katibu mkuu na hapa ndipo msingi wa swali langu unapoanzi kuwa JE MAGANGA ANAGOMA AU ANAONEWA?

Usikose kuwa nami katika sehem ya pili ya makala hii ili uujue ukweli juu ya swali Hilo

Mwandishi anapatikana kwa namba 0714487251/ 0752130597
 
Kabla ya kuendelea na makala yako, tujulishe kwanza huyo Japhet Maganga anahudumu ofisi gani kwa sasa?
 
Unaweka wazi namba yako ya simu kabisa bila wasiwasi.
 
Wataalamu wa sheria za kazi mtusaidie kabla ya huyu jamaa hajamalizia stori yake.

Je, mtumishi wa serikali akiajiriwa taasis nyingine kwa mkataba wa kudumu anaendelea na ajira yake ya awali?

Nauliza hivyo kwa sababu imeelezwa kuwa Maganga aliajiriwa CWT kama mhasibu mwenye CPA kwa mkataba wa kudumu! Hii ni tofauti na wale wa likizo ya malipo ambao wanakuwa wanapewa miaka mitatu mitatu na serikali.
 
Ngoja hii stori inifungue macho maana naona vitu vipo wazi kabisa lakini kuna namna tu vina-compliketishwa na upande ambao unaona maslahi yake yanaminywa

Japo yote kwa yote, unapodai haki kumbuka na wajibu
 
Back
Top Bottom