Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Magambo Samwel amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Kishapu kwa kuchukua fomu leo hii. Magambo amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM wilaya ya Kishapu Peter Mashenji.
Baada ya kukabidhiwa fomu hiyo Magambo amesema suala la kilimo litakuwa ajenda yake namba moja kwani kilimo ni sekta mtambuka inayojumuisha undelezaji wa viwanda, ajira kwa vijana na ujenzi wa miundombinu ya barabara.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Pia Magambo amegusia sekta ya madini kutokana na uwepo wa madini ya almasi na dhahabu katika jimbo la Kishapu na kusema atahakikisha wananchi wanapata fursa ya kushiriki moja kwa moja kwenye sekta hiyo kwa kuhakikisha wachimbaji wanapata maeneo yaliyopimwa na watalaamu wa madini ili kurahisha upatikanaji wa madini hayo.