Magamba yamekata umeme. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magamba yamekata umeme.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Plato, Jun 15, 2011.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Ninasubiri kwa hamu bajeti ya serikali yangu saa tano.magamba yamezima umeme,au hayataki tujue mikakati ya chadema kutukomboa.nimekata tamaa.nilikuwa nimecancel ratiba zangu.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Itatangazwa kupitia redio gani?
  Maana Redio ya Magamba (TBC) Wana kipindi kingine. au TBC TV Watarusha? Walivyo wazalendo kwa maghamba sijui kama watarusha.
   
 3. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Huku wamekata saa moja asbh.Hili Linchi ovyo kabisa!!
   
 4. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kweli, dsm Mbezi hapa umeme hakuna, itakua magamba tu s@*¤¤¤
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,292
  Likes Received: 19,447
  Trophy Points: 280
  kuna thread ilikuwa hapa last week ilisema kuwa lazima umeme ukate
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,068
  Trophy Points: 280
  Mpaka Tbr umeme wolah...hizi ni fitina za mjomba na akina Nepi,leo umeme umekatwa mapema hata hakujapambazuka
   
Loading...