davidmgombele
Member
- Nov 25, 2010
- 29
- 2
Kabisa kabisaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! Inawezekana.Tanzania bila CCM inawezekana kabisa!!!!!!
Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/= hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=
kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......
source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania
Usiwe mvivu wa kusoma, mbona mtoa mada kaweka sources tatu??check line ya mwisho ya mtoa mada au unataka sources za aina gani??mkuu upo sawa kabisa ila tupatie chanzo cha hizo data zako (au ni za kufikirika tu?)
Habari wanajamvi...uchaguzi umekwisha huko Igunga na gharama zilizotumika zimefahamika..kwa kifupi ni kwamba CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....kwa hesabu za haraka ni CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/= hivyo basi
CCM imegarimikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegarimikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegarimikia kura moja kwa tsh 71,292/=
kwa mtazamo wangu hapo chadema ndo washindi...ni mawazo tu......
source:Nipashe,Tanzania Daima na Mtanzania
Siku imeisha vizuri.
Safi sana kama watu wanakuwa na takwimu nzuri namna hii.
acha kuwa "mgumu kuelewa rahisi kusahau"...tuliza akili kijana mbona unakurupuka??
Nimepata wasiwasi na uwezo wako wakufikiri . Kwani kuna thread humu ndani jana iliweka wazi kuwa tulichokuwa tunatafuta sio habari ya gharama wala kujua idadi ya kura ni kupata mbunge. Kwa hiyo aliyopata Mbunge ndio ametimiza lengo lake. Na isitoshe usiilinganishe CCM na cdm kwenye pesa. CCM wao wana vyanzo vingi vya mapato kwani wana rasilinali nyingi sana, kwa wao Tshs 3bn ni ndogo, na imewaathiri kidogo ikilinganishwa na cdm ambayo imetumia tshs 400mn na imevunja benki ambapo akaunti zake zote nyeupeee hazina kitu hivi sasa wanatembeza bakuli.
ok,kwa hiyo unashauri nani aende mjengoni na kaapishwa,kati ya Kafumu na Kashindye?