Kwa evaluation yangu hadi sasa,wabunge wafuatao
hawafanani na chadema kabisa,msaada wao kwa chadema ni sifuri
1.Rose Kamili
alihamia chadema baada ya kuangushwa kwenye kura za maoni
ccm,toka aingie bungeni amekua kimya kweli tofauti na nilivo kua nikimsikia enzi zile
akiwa diwani wa ccm,...alikua machachari kweli.
Ukimya wake una weza kutafsiriwa kwamba,..."chadema hapanifai kama kule nilikokua"
2.Sugu au Mr.II au Mbilinyi
Huyu nae,nashindwa kumtofautisha na komba (yule muimba kwaya wa ccm)!
Naamini wananchi walimchagua sababu ya kuimba kwake na sio kuamini kwamba
ana uwezo wa kuwa wakilisha bungeni.
Kaongea mara kibao bungeni,hakuna siku aliongea point hata moja zaidi
ya kufuka kama wabunge wa ccm
3.Joseph selasini
Huyu nae sijui historia yake kisiasa,ila naamini akirudi kugombea leo hii jimboni
kwake hashindi ng'o!
Ni mtu asiye na msimamo hata kidogo juu ya anacho kiamini,ana geuzwa na upepo
mdogo sana,...watu kama hawa ni magalasha
4.Shibuda
huyu sababu ya kuingia chadema ni sawa na rose kamili,
sababu ya ukimya wake ni sawa na kamili pia.
Ingawa yeye mara nyingi kaonesha kwamba yuko na
chadema kwa bahati mbaya bila kuficha. hili ndio galasha kuu ndani ya chadema
Ni hao kwa sasa,ntaleta wengine,...
Am still watching
kwanini?
hebu tumfananishe na huyu, je anamchango wowote ?
kwanini?
point takenHii picha itengenezewe Fremu, ifanywe mradi wa machinga, nadhani italipa sana.
wewe kijana ,pepa vipi? pole na pepanaona upsteaz kuna mushkeli tayariKwa evaluation yangu hadi sasa,wabunge wafuataohawafanani na chadema kabisa,msaada wao kwa chadema ni sifuri1.Rose Kamilialihamia chadema baada ya kuangushwa kwenye kura za maoni ccm,toka aingie bungeni amekua kimya kweli tofauti na nilivo kua nikimsikia enzi zileakiwa diwani wa ccm,...alikua machachari kweli.Ukimya wake una weza kutafsiriwa kwamba,..."chadema hapanifai kama kule nilikokua"2.Sugu au Mr.II au MbilinyiHuyu nae,nashindwa kumtofautisha na komba (yule muimba kwaya wa ccm)!Naamini wananchi walimchagua sababu ya kuimba kwake na sio kuamini kwamba ana uwezo wa kuwa wakilisha bungeni.Kaongea mara kibao bungeni,hakuna siku aliongea point hata moja zaidi ya kufuka kama wabunge wa ccm3.Joseph selasiniHuyu nae sijui historia yake kisiasa,ila naamini akirudi kugombea leo hii jimbonikwake hashindi ng'o!Ni mtu asiye na msimamo hata kidogo juu ya anacho kiamini,ana geuzwa na upepomdogo sana,...watu kama hawa ni magalasha4.Shibudahuyu sababu ya kuingia chadema ni sawa na rose kamili,sababu ya ukimya wake ni sawa na kamili pia.Ingawa yeye mara nyingi kaonesha kwamba yuko na chadema kwa bahati mbaya bila kuficha. hili ndio galasha kuu ndani ya chademaNi hao kwa sasa,ntaleta wengine,...Am still watching