Magaidi washambulia bunge la Iran

Na ISIS kwa hili watarudi tena kuipiga Iran, Iran imefadhili sana hawa ISIS sasa imewarudi..
Kaka mpaka leo unashindwa kufahamu marekani ndo mleta machafuko hapa ulimwenguni....kuna watu mnahitaji elimu ya ziada kuelewa huu ulimwengu unavyokwenda. Too sad.
 
Wenge la Israel linawaendesha sana, inaelekea hata siku ukigongewa mke wako utasema ni Mossad ndo wahusika
Wame kuloga na huwezi juwa kama umelogwa na uchawi wa laboratory kijana nina halika kabisa hawa wa Israel wakikuambia uiname style ya kuchuma mchicha huna hiana lazima utafanya hivyo maana hujielewi huambiliki juu yao umekufa umeoza una mahaba yaliyo pitiliza juu ukiulizwa utasema watoto wa mungu wamekuinamisha!!!
 
Back
Top Bottom