Magaidi washambulia bunge la Iran

Sasa haya mambo ya kuweka chumvi eti Bunge linawaka moto mlitaka kumaanisha nini? Kwa nini tukio la Iran lipate publicity kubwa wakati hatujui wahusika ni akina nani, je, ni wanajeshi wenye bifu na viongozi/utawala wao au ni magaidi, this is an isolated incident - mbona Uingereza imeshambuliwa mara tatu ndani ya miezi miwili, Ujerumani mara nne, Marekani kwenyewe na Ufaransa ndiyo usiseme why pick on IRAN?
 
 
twelve people killed in iran after ISIL attack meanwhile Turkey imesema iko tayari kuisaidia Qatar upungufu wa chakula uliojitokeza baada ya Qatar kuwekewa vikwazo na majirani zake, safi saana Turkey
 
Iran sponsor wa terrorists imemrudia mwenyewe.. Haaaaa muosha huoshwa, alijua ugaidi mtamu kwa wengine sasa zamu yake..
Hao wahuni wametumwa na USA, Israel , kupitia kibaraka wao Saudi Arabia haya mambo huwezi ya jua maana umelogwa na wa Israel!!!
 
tukio la kwanza ndani ya miaka 25 kutokea IRAN. Nadhan Iran ina the best and the most Dangerous intelligence agency in the world kwasababu tayar gaidi mmoja aliehusika moja kwa moja alikamatwa ndani ya lisaa limoja.
 
Hivi hawa ISIS wamefunga ramadhani kweli? mbona ni makatili sana khaa!
 
Hamna magaidi hapa fitna tu za Wamarekani, wanawatumia vijana kuwapa mafunzo, fedha na silaha ili ku'destabilize nchi za kiarabu.
 
Mbona Mimi na wasiwasi ISIS Inadhaminiwa na US pamoja na imirat na sio qatar
 
Hao wahuni wametumwa na USA, Israel , kupitia kibaraka wao Saudi Arabia haya mambo huwezi ya jua maana umelogwa na wa Israel!!!
Wenge la Israel linawaendesha sana, inaelekea hata siku ukigongewa mke wako utasema ni Mossad ndo wahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…