Magaidi wanasheherekea.

Free Africans

Member
Feb 9, 2017
7
1
Magaidi wanasherehekea.

Kitendo cha Marekani kuishambulia Syria taifa huru kwa kisingizio cha matumizi ya Silaha za Kemikali dhidi ya RAIA wake,
Kinawapelekea Magaidi kushangilia na hivo Marekani kujidhihirisha kama taifa la kigaidi.
 
Hii ina maana kubwa kuliko tunavyofikiri.... Mleta uzi katumia lugha ya kisanii kufikisha ujumbe!
Inahitaji tujifikirishe zaidi kuelewa Alichoandika!
 
Hii ina maana kubwa kuliko tunavyofikiri.... Mleta uzi katumia lugha ya kisanii kufikisha ujumbe!
Inahitaji tujifikirishe zaidi kuelewa Alichoandika!
Hiyo unayotaka au unayolazimisha iwe ni maana sivyo ndivyo amaanishavyo MLETA UZI......
 
Back
Top Bottom