Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 18,563
- 46,747
Iran na makundi yake iliyoyapandikiza ndani ya nchi za kiarabu, serikali za nchi za kiarabu, inayatambua kuwa ni makundi ya kigaidi yaliyopandikizwa nchini mwao ili kuzidhoofisha serikali za nchi hizo kwa maslahi ya Iran.
Baadhi ya watu, huku kwetu hawalijui hilo. Wao wanaamini kuwa nchi hizo za kiarabu kwa vile wananchi wake karibia wote ni waislam, basi wote wanaunga mkono vitendo vya kigaidi vya Iran na makundi yake. Nchi nyingi za kiarabu zina mahusiano mazuri zaidi na Israel kuliko Iran.
Jana mamlaka ya habari ya Iraq imebidi ifute leseni ya ya television ya Saudia, baada ya television hiyo kutangaza wazi kuwa wakuu wa Hezbollah na Hamas, na wapiganaji wao, waliouawa na Israel ni magaidi. Uamuzi huo wa serikali ya Iraq umefanywa kufuatia kundi la wanamgambo kuvamia na kuharibu ofisi za television ya Saudia, MBC, mjini Bagdad, kupinga viongozi wao na wao wanamgambo wa makundi ya Iran, kuwa ni magaidi. Habari kamili hii hapa chini:
Israel Hezbollah War Live Updates: Iraq moves to revoke Saudi broadcaster's license after report angered militia supporters