haya [HASHTAG]#scooman[/HASHTAG] usiguse hata siku moja, tena hata usijaribu , baki hivyo hivyo na huo ujinga, tena hata usithubutu kabisaaaaaaaaaaaa maana kwako kwajifunza ni sawa sawa na kula mkaa wa moto sasa usije ukaungua bure
baki hivyo bhana yani we kujua ukweli ni dhambi sa ucje ukaingia motoni bure.
yani kaa mbili na kuijua quran we cha kufanya soma hizo bangi za hao jamaa zako walozituka hapo halafu .
watoto wengine ni shida tu maana ukubwa wa bure akili kijiko.