Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,937
- 6,030
Yasser Abu Shabab, ambaye anajulikana waziwazi huko Gaza kwa kuipinga Hamas, anatoa wito kwa wananchi wa Gaza kuja kuishi chini ya ulinzi wa jeshi la Israel huko Rafah.
Ikiwa atafaulu, itakuwa pigo la kifo kwa magaidi wa Hamas IDF shikilieni hapo hapo na safari hii mpaka wanyooke tu!!
Ikiwa atafaulu, itakuwa pigo la kifo kwa magaidi wa Hamas IDF shikilieni hapo hapo na safari hii mpaka wanyooke tu!!