Magaidi mkoani Simiyu ni sinema au ni kweli?

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,293
Kitendo cha Polisi kuonyesha hadharani jinsi ya kukabiliana na Ugaidi, kina tija?! Vipi kama magaidi nao wanaona hizo mbinu kupitia Tv? Je, sisi raia tupo salama?
 
Mwandishi alikuwa wapi hadi akawa anasafiri na askari? Askari walimuita muandishi akaambatane nao kwenye operesheni?

Ni Kama sinema vile.

Chanzo: ITV
 
Ile Ni Kutafuta Kitu Watu Wa mujini Wanahita KIKI... Magufuli Hadanganyiki na Usanii Wa Police wetu...
 
Nachukia sana watu wanaoweka a mahala pa h,na h mahala pa a,hivi huwezi kujitathmin?,hau=au.
 
Mi nadhani polisi wakifanya mafunzo hayo, wasiruhusu mtu kuchukua video au picha, kwani mbinu zinaweza mfikia gaidi kiurahisi nae aka advince zaidi.
 
Kitendo cha Polisi kuonyesha hadharani jinsi ya kukabiliana na Ugaidi, kina tija?! Vipi kama magaidi nao wanaona hizo mbinu kupitia Tv? Je, sisi raia tupo salama?
Mwaka huu kila mtu atafanya usanii mradi amfurahishe blaza Magu. Teh teh
 
Nimecheka xana! Nchi kama malekani na ufaransa wanateswa na ugaidi wakati wana cctv hata misituni kwa wanyama ile huku hata tochi za point hazitoshi.Polisi siyo saizi ya magaidi,Jwtz al least.

Mazoezi wakafanyie Nigeria na Kenya.unafanyia mazoezi kanisani!!

Halafu wanamanisha ugaidi ukitokea raia wakashangilie?maana sijackia wakionywa kutosogea so watajua kwamba kwenye mazoezi waliitwa kushangilia vivyo hvyo ikiwa kweli.
 
Malekani= Marekani
 
Mwandishi alikuwa wapi hadi akawa anasafiri na askari? Askari walimuita muandishi akaambatane nao kwenye operesheni?

Ni Kama sinema vile.

Chanzo: ITV

Hawa jamaa walivozuiliwa gwaride la UHURU lazima watafute namna kupiga japo kidogo.
 
Walizoea kuonyesha mazoezi yao taifa ktk sherehe za uhuru na ishafutwa sasa wataonyeshea wapi tena
 
Ayo ni mazoez ambayo yanafanywa na ata ktk mataifa yaliyoendelea. Wenzetu wanafanya kwa kutumia treni, bus, ndege au meli ivo lilofanywa na polisi wa tz kawaida tu
 
Kitendo cha Polisi kuonyesha hadharani jinsi ya kukabiliana na Ugaidi, kina tija?! Vipi kama magaidi nao wanaona hizo mbinu kupitia Tv? Je, sisi raia tupo salama?

Huwa sio mbinu zote zinaonyeshwa, kwanza inaanza "tabletops simulation exercise" ambayo hakuna mwenye taarifa yake walifanya nini Kisha wanamalizia na "Field Simulation Exercise" ambayo Inafanyika katika open space. Haya mazoezi yana tija sana kwa vikosi vyetu
 
Back
Top Bottom