Habari zenu
Naomba leo tuambizane ni mafuta gani au dawa gani unayoitumia pindi unapoa ndevu au sehemu za siri na kukufanya ngozi yako ibaki nyororo isiyo na vipele
Tumia product ya North for Men. Hii ni Kwa wanaume sensitive ktk ngozi nakupata mapele wakt wa kunyoa
Wape 1. shaving foam
inasaidia wkt wa kunyoa mana ni kama povu na inazuia ukavu na mkazo wa ngozi
2. Soothing face cream
inatuliza nakukufanya uwe comfortable.
Na hii soothing cream inapakwa kila asubuhi au jioni usoni na shingoni baada ya kunawa au kunyoa.
For more info contact me through 0658409474