Mafuta ya ubuyu

Mafuta ya ubuyu

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,795
Reaction score
8,943
Habari za weekend wakuu
Nahitaji mkamuaji mwenye kiwanda cha mafuta ya ubuyu mkoani Dodoma

Nahitaji kwa wingi sana
Lakini sharti langu ni moja tu
Siku ya kukamua mafuta niwepo nashuhudia

Nimechoka kuchakachuliwa na alizeti🙂‍↕️🙂‍↕️

Whatsapp only
0688301635
 
Nje ya mada,umeolewa mdogo wangu,sema chap nilete posa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom