Mkuu nina week mbili sasa nafuatili mafuta ya Taa depot kule bandarini naambiwa hakuna mzigo .Nafanya hiyo biashara though sio ya mtaji mkubwa ila huwa nachukuwa lita 3000 lakini mpaka sasa sijapata mpaka nikaomba nipate hata lita mia moja ili wateja wasisahau ofisi yangu lakini bila bila.Nadhani yameumgana na sukari kugoma kuja nchini ili yatukomoe .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.