Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,365
- 33,528
Mbona simple tu,Nazi inakunwa,Kisha unamikisi na maji ili kupata tui,,ukipata tui,unaweka kwenye chombo then unaweka kwenye friji,,hiyo itafanya mafuta yaje juu na kuganda,,wewe unafanya kuyaengua na kijiko Yale mafuta,
Au
Kausha ile nyama ya ndani juani,,Kisha Kuna mashine za manual unaweza kutumia kukamulia Kama huna zile mashine maalumu za kukamua mafuta.
Au
Baada ya kupata tui la Nazi,weka jikoni na upike mpaka ibaki mafuta na machicha,then unakamua kupata mafuta