una mahaba la kiume jo
wapo watu watakusaidia nini cha kufanya hapahapa, ukikosa mtafute ustaaz mmoja anaitwa Said Hamis Mkama, yupo dar sina mawasliano nae lakini ukifanikiwa kumpata huyo mtu...Itakuwa kher....japo wapo wengi wanafahamu jinsi ya kuiondoa hiyo kadhia...pole sanaLinanitesa na kuniingilia usiku... Kuota wafu, kula nyama, kuota nauuliwa... Dunia hadaa. Nimepaya sononi la kudumu
Asante mkuu... Kwa msaada wa Mungu naamini siku moja nitapona tu.wapo watu watakusaidia nini cha kufanya hapahapa, ukikosa mtafute ustaaz mmoja anaitwa Said Hmis Mkama, yupo dar sina mawasliano nae lakini ukifanikiwa kumpata huyo mtu...Itakuwa kher....japo wapo wengi wanafahamu jinsi ya kuiondoa hiyo kadhia...p;le sana
“ULIMWENGU WA MAJINI NA VITUKO VYAO” kilichoandikwa na sheikh Said Hamis Mkama. Phone namba +255754913480 DSM.Asante mkuu... Kwa msaada wa Mungu naamini siku moja nitapona tu.
“ULIMWENGU WA MAJINI NA VITUKO VYAO” kilichoandikwa na sheikh Said Hamis Mkama. Phone namba +255754913480 DSM.
E.mail:mkamasaid@yahooo.com
Okay mkuu....! Kuna mida najiona kama vile mie tatizo langu ni sugu na sintopona... Kwa uwezo wa Mungu one day yes.simpigii promo, huyu mtu aliwahi saidia ndugu zangu karibia watatu miaka kumi iliyopita na sasa wako poa kabisa
Hicho kichupa kinauzwaga 2000/= tuHabari wakuu.... Ni miaka. Sasa nahangaikia tatizi langu bila kupona...!
( ndoto mbaya na za kutisha)
Katika pitapita zangu za hapa na pale nikakutana na matumizi ya miski kuondoa na kumdhoifisha jini mahaba..!
Niliamua kwenda kwenye maduka ya kisunna nikanunja kwa shilingi 5000..tu!!,
Ila nimeanza kutumia kichwa kinaniuma sana sana.... Naombeni wajuzi mnijuze je ni kawaida?
Kwa upande mwingine haya mafuta yananukia vizuri mno ( ni kama manukato hivi) ila nikinusa harufu Yake nakuwa km nataka kutapika..
Kila mmoja wa familia ananiambia kama ni pafyume basi awami hii nimejua kuchagua..
Naombeni kujua na kuhusu hospitali nimetoka hiko sasahivi sina ugonjwa wowote... Asanteni..!
Inawezekana hata huna tatizo zaidi ya mawazo yako ambayo yameshatengeneza uoga wa asili ndani yako.Okay mkuu....! Kuna mida najiona kama vile mie tatizo langu ni sugu na sintopona... Kwa uwezo wa Mungu one day yes.
Kuleta hamu inakuwaje jamani?? .. Maana mie mtoto yupo la 3 ila sijawahi kuwa na hamu.Hicho kichupa kinauzwaga 2000/= tu
Sijui kwa nini unaumwa kichwa.
Ila mie harufu yake huwa inanikera
Japokuwa yanaleta hamu sana
Hapana mkuu...!! I real have this problemInawezekana hata huna tatizo zaidi ya mawazo yako ambayo yameshatengeneza uoga wa asili ndani yako.
Unaweka matone kwenye maji unanawiaKuleta hamu inakuwaje jamani?? .. Maana mie mtoto yupo la 3 ila sijawahi kuwa na hamu.
Mkuu kila jambo ni namna akili inavyolipokea,kulitafsiri na kulifanyia kazi.Hapana mkuu...!! I real have this problem
Okay mkuu....! Kuna mida najiona kama vile mie tatizo langu ni sugu na sintopona... Kwa uwezo wa Mungu one day yes.
Hamu ya nni ? mremboHicho kichupa kinauzwaga 2000/= tu
Sijui kwa nini unaumwa kichwa.
Ila mie harufu yake huwa inanikera
Japokuwa yanaleta hamu sana
Hicho kichupa kinauzwaga 2000/= tu
Sijui kwa nini unaumwa kichwa.
Ila mie harufu yake huwa inanikera
Japokuwa yanaleta hamu sana
Usijali mkuu... Nimeanza kufanyia kazi ushauri wenu.umeomba ushauri, tunajaribu kukushauri, ni uamuzi wako sasa.......penye nia pana njia