Wadau,
Nimekumbuka siku za nyuma kuna meli kubwa ya kikorea ilikuja kufanya utafiti wa mafuta katika eneo la bahari la Tanzania na utafiti huo ulizinduliwa na mtoto wa mkulima!
Baada ya muda kidogo wakasema watachimba mafuta ya majaribio kama mapipa kadhaa.
Baada ya hapo hatujasikia tena nini kiliendelea!je, mafuta yalipatikana au la?
kwa nini hatupewi updates kuhusu hilo, au ndo kama kawa shamba la bibi?