Ona sasa,yani wananchi tunang'ang'ania vitu vikalipiwe kodi ili kodi hiyo itumiwe na WALANCHI,wakati tunaelewa maranyingi mali za magendo huuzwa kwa bei nafuu kwani hazijalipiwa kodi hivyo humsaidia mwananchi,vitu vingapi vinalipiwa kodi ambazo hazizai maendeleo?,makampuni ya simu,uchimbaji wa madini,mahoteli,yanapewa miaka mingi kabla ya kuanza kulipa kodi,na miaka ikiisha KAMPUNI ANAUZIWA MTU MWINGINE,hatulalamiki.