Mafuta ya kupikia bei juu

Mafuta ya kupikia bei juu

ng'ombo

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
418
Reaction score
619
Bei ya mafuta ya kupikia iko juu na inazidi kupanda

Dumu la lita 20 kwasasa ni tshs 70,000.

Vipi uko kwenu bei iko vipi?
 
Kama namuona Bw cholestorol a.k.a lehemu anavyosikitika.
 
Back
Top Bottom