Mafuta ya kulainisha ngozi

Mar 22, 2017
37
44
baf6838155fc07baf1b2a8b188e59678.jpg


Je, unatatizo la ngozi ya unyayo kupasuka pasuka ( magaga, sagamba nk) au ngozi ya unyayo kuwa ngumu na unahitaji iwe laini?

Suluhisho ni bidhaa kutoka Oriflame, ukiipata matokeo yake utayapenda..

Ziko bidhaa mbili ambazo zitakusaidia;
(1) Feet up Advanced Rescue Treatment Foot Mask tsh 18,000/=
(2) Feet Up Advanced Cracked Heel Repair Foot Cream tsh 14,000/=

Usisahau ukijiunga kwa tsh 10,000 utapata punguzo la bei kwa kila bidhaa utakayoinunua kutoka Oriflame kwa 30%

Karibu namba yangu ni 0672416294 ukihitaji bidhaa na kufahamu zaidi kuhusu Oriflame
 
eb5c3896472fda6d917bdcdb58320e4a.jpg


Hapa kuna perfume tatu za kike, zina manukato mazuri sana na zenye marashi yaliyotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia.. .

Tuanze na PARADISE (Floral Woody Musk)
Imetengenezwa kwa kutumia;
- Rose Pepper
- Jasmien Petals
- musk
Bei ni tsh 90,000/= ukijiunga kwa tsh 10,000/= utaipata kwa tsh 69,200/=


Nyingine LOVELY GARDEN (Woody Oriental)
Imetengenezwa kwa kutumia;
- Hot Milk Accord
- Vanilla Orchid
_ Rhubarb
Bei ni tsh 82,000/=, ukijiunga kwa tsh 10,000/= utaipata kwa tsh 63,100/=

Halafu kuna na hii POSSES (Chypre Floral Fruity)
Imetengenezwa kwa kutumia;
- Ylang ylang
- Indonesian Patchoul
-Queen Pineapple..
Bei ni tsh 112,000/=, ukijiunga kwa tsh 10,000/= utaipata kwa tsh 86,200/=


Karibuni sana Bidhaa za OrRIFLAME hakika hukidhi hitaji la mteja... Ukipata kutumia bidhaa hizo hakika hautajutia..

Naomba yangu ni 0672416294 karibu tuongee biashara ya ORIFLAME.
 
Bei yake poa kwa wanaofanya kazi katika balozi na mashirika ya nje yaliyoko nchini labda na TRA. Lakini kwetu sisi ''pangu pakavu tia mchuzi'' tutabakia kuziangalia kwenye mitandao tu.
 
eea442f1ecb9992215f3bd8332a0f80a.jpg


Karibu tufunge mwezi na bidhaa zilizotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia..

Usihofie kuniuliza kuhusu Oriflame na Bidhaa zake, tunaweza zungumza na ukazipata hitaji lako bila shaka wala tatizo.

Leo nitaongelea bidhaa hizi nne za Novage, na nitakuuzia kwa bei ya mwanachama kila moja..

Karibu sana nia na dhumuni ni kukupunguzia gharama ya bei kwako na kukupatia bidhaa sahihi kwa ngozi yako.

Namba yangu ni 0672416294 wasiliana nami.
 
8484c7f895ecc05b5009721fc6ac5c17.jpg


Hii ni NOVAGE BRIGHT SUBLIME;

Hii inatumika kwa jinsia zote, umri kuanza miaka 20 na kuendelea..

Inasaidia ngozi kuondokana;
- Chunusi usoni 100%
- madoa usoni 100%
- pia huepusha na kuondoa dalili za mikunjo kunjo usoni...

Kumbuka ukijiunga kwa tsh 10,000/= utainunua bidhaa yeyote ya ORIFLAME kwa punguzo la bei kwa 30%..
Hivyo basi, set hii ni tsh 242,000/= lakini ukijiunga utaipata kwa tsh 186,200/=

Ukihitaji wasiliana nami kwa simu namba 0672416294
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom