Mafuta ya gari kwa punda

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Jamaa mmoja alikuwa anaendesha mkokoteni wa punda,siku moja alimuuliza rafik yake,kwanin magari yanaenda mbio sana kuliko mkokoten?,. Alijibu kwa kuwa magar yanatumia mafuta. Siku ya 2 jamaa akaenda shell na punda wake akamnyanyua mkia punda,akasema atiwe lita 5 za petrol. Petrol ilimuwasha punda matakon akatoka mbio jamaa akamfukuza kidogo kisha akarud akavua suruali na kuinama akamwambia muuza mafuta amtie lita 10 haraka amfukuzie punda wake. Unajua nini kilitokea?,we acha tu ntarud kesho.

kwa sababu yy aliwekewa lita 10 basi speed yake itakua kubwa sana...tehe!!

staili gani tena hizi punda igunga???au pia wanatumia petroli??

kwahiyo jamaa wa suti5 atiwe nini apunguze ukimya

Kuanzia siku hiyo akawa shoga!

janguar,shoga tena?,duh

aaah hiyo nimeipenda...! unajua nini kilitokea..!? jamaa alicheki akaona haendi kasi basi akaamua kujaribu kupasha moto makalio...! asee jamaa alipaa..!

tehete uuuuwiiii cna mbavu cpati picha mwisho wa muvi ulikuwaje very funy by the way

staili gani tena hizi punda igunga???au pia wanatumia petroli??

wale walikua wanaenda polepole, itakua hawakuwekwa petroli. Wawekwe petroli, mkuu aweze kufika maeneo mengi zaidi kwa muda mfupi.......

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…