Mafuta bei juu tatizo liko wapi??

Nyie watu munaishi wapi? Mi niko Tabata nilipoona hizi comment zenu ilibidi nipite dukani kwanza kabla sijacomment kitu nimekuta Mkate 1000...! sasa nyie munaishi wapi?
Huo mkate wa tarehe ngapi? Mkate umepanda bei babu
 
Mpwapwa Gairo na Kibaigwa, Mafuta yamesimama 2475
 
Nyie watu munaishi wapi? Mi niko Tabata nilipoona hizi comment zenu ilibidi nipite dukani kwanza kabla sijacomment kitu nimekuta Mkate 1000...! sasa nyie munaishi wapi?
Hata Boflo ni mkate pia, hatuwezi kukubishia.

Mimi mkate nanunuwa shilling 2500/=
 
wacha wananchi tuchangie gharama ununuzi wa Korosho kwanza... !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…