Mafuruko ya Salam na Pongezi JPM!

Mafuruko ya Salam na Pongezi JPM!

Giro

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2009
Posts
359
Reaction score
24
IMG-20161030-WA0012.jpg
 
Hapo naona traffic warden anaangalia kosa lipi amfungulie na kwa kifungu gani cha sheria

Najua atapata tu
 
ha ha ha... huyo sio traffic.. hakuna unifom za hivo. suruali nyeupe huwa hazima mifuko ya pembeni.
 
Huyo ni boss wake anampa maagizo kuwa akifika, aanze kuwalisha hayo majani ndama kwanza...kisha anarekodi!
Hilo likitabu ni kwa ajili ya kurekodi tripu alizoenda kwa ajili ya malipo!!
 
Back
Top Bottom