Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
wewe ndio wale mkiambiwa uchumi unakua kwa asilimia 10, mnameza ivoivo. Maendeleo has to be translatable to the ground level na kila mtu ayaone, you can't hide achievements , they will be out for everyone to see. Typical mdanganyika/wewe ni mteja Tu.huwez ukajua mafanikiao ya NBC uliza Top level management ,middle level na wafanyakazi wengine coz mafanikio wanayajua wana NBC wenyewe.
Mafuru is good but not that much, managing director wa kitanzania wote wanafanana tofauti ni majina tu na kabila zao..
Kama mtu upo fiti kwa nini usijaribu challenge kwenye opportunities za kueleweka duniani,, why not to find opportunities in a reputable company around the globe as sony group japan, samsung group korea, google, huawei china, maerskline,, ericsson sweden, Toyota japan, honda, nissan au volkswagen group germany etc... Nina imani huko ndo kweye proffessionalism ya ukweli as unatoa decisions zinazo affect the world..
Nilikuwa nacheki snbc ile business television kwenye dstv.. Kuna mkenya alitoka bank of kenya alikuwa managing director aliona wanamzingua enzi za moi akaelekea zake sony akawa finance manager sony group na alikuwa anafanya vitu vinavyo effect sony dunia nzima na wakakubali jamaa ana uwezo..
Na mishahara utayolipwa huko group si mchezo ni madolari ya kufa mtu,, japokuwa huko hakuna kuiba kizembe zembe maana unacheza na auditors wa groups.. As kama na ernest and young, pwc or kpmg wanaofanya audit kwenye kampuni kubwa nao wanatoka headquarter wa hizo firms so hawakuachi kizembe zembe.. Sio bongo unampangia auditor hadi sample za kumpatia na yeye anacheka cheka tu
Good Decision. Zitto should learn from this Business Executive.
"The Guilt Always Are Afraid!"Zitto hana macho ya rohoni, hawezi kusoma alama za nyakati
Mkuu..
Sikubali kuwa kipimo pekee cha mafanikio ni kwenda kufanya kazi kampuni fulani ya nje..
Tizama mtu kama Nehemia Mchechu mambo aliyoyafanya kuanzia CBA mpaka sasa NHC..
Tizama mambo makubwa anayoyafanya Charles Kimei..CRDB inasambaa mpaka Rwanda huko..
Tusijidharau namna hii..wapo watanzania wanaoweza kufanya kazi yao vizuri
Yes the man is bold!, ila pia kwenye top executives kuna vita kati ya top prestige vs top money!. Kama ni kweli ameachia ut top wa NBC kwenda Puma Energy kwa sababu tuu ya Top salary, then its a less prestigious company compared to NBC!, NBC is giant!. Sitashaangaa maana hata yule mama Mwambenja aliyekuwa the first woman MD wa Exim Bank, ameachia na kuwa MD wa kibenki fulani kipya cha wanawake kimeanzishwa!.
Although money is everthing, sometimes its not everything!.
"The Guilt Always Are Afraid!"
All the Best kwa Mafuru on his new endeavors!.
Merry X-mass & Prosperous New Year!.
Pasco
Mashujaa wa kweli, sio wale wanaokimbia vita, bali ni wale wanao face the war na kupambana mpaka mwisho!.A smart man indeed; sidhani kama angeweza kufanya kazi vizuri under the weight of allegations leveled against him. He had to resign kuliko kufukuzwa.
Mkuu Sangarara,Good Decision. Zitto should learn from this Business Executive.
Mkuu Sangarara,
only "The Guilt Are Always Afraid!"
He is not!
Na shujaa wa kweli sio yule anayekimbia vita, pali anayepambana, mpka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu linamwagika!.
Merry X-mass & Prosperous New Year!.
Pasco
wewe ni mteja Tu.huwez ukajua mafanikiao ya NBC uliza Top level management ,middle level na wafanyakazi wengine coz mafanikio wanayajua wana NBC wenyewe.
Mafuru is good but not that much, managing director wa kitanzania wote wanafanana tofauti ni majina tu na kabila zao..
Kama mtu upo fiti kwa nini usijaribu challenge kwenye opportunities za kueleweka duniani,, why not to find opportunities in a reputable company around the globe as sony group japan, samsung group korea, google, huawei china, maerskline,, ericsson sweden, Toyota japan, honda, nissan au volkswagen group germany etc... Nina imani huko ndo kweye proffessionalism ya ukweli as unatoa decisions zinazo affect the world..
Nilikuwa nacheki snbc ile business television kwenye dstv.. Kuna mkenya alitoka bank of kenya alikuwa managing director aliona wanamzingua enzi za moi akaelekea zake sony akawa finance manager sony group na alikuwa anafanya vitu vinavyo effect sony dunia nzima na wakakubali jamaa ana uwezo..
Na mishahara utayolipwa huko group si mchezo ni madolari ya kufa mtu,, japokuwa huko hakuna kuiba kizembe zembe maana unacheza na auditors wa groups.. As kama na ernest and young, pwc or kpmg wanaofanya audit kwenye kampuni kubwa nao wanatoka headquarter wa hizo firms so hawakuachi kizembe zembe.. Sio bongo unampangia auditor hadi sample za kumpatia na yeye anacheka cheka tu
Zito hawezi mpaka sangoma wake ampe go ahead, afterall, ameshasema kuwa pale CDM kuna damu yake...
Matusi kwa viongozi Mod mnayaangalia tu angekuwa Slaa ndo mngeona