Makamee JF-Expert Member Nov 29, 2013 2,029 1,191 Dec 10, 2013 #1 Kijiji cha Maweni kata ya Magugu wilaya ya Babati kaya zipatazo 40 hawana pa kuishi baada ya makazi yao kukumbwa na Mafuriko. Wahanga wahamishiwa ktk madarasa ya shule.
Kijiji cha Maweni kata ya Magugu wilaya ya Babati kaya zipatazo 40 hawana pa kuishi baada ya makazi yao kukumbwa na Mafuriko. Wahanga wahamishiwa ktk madarasa ya shule.
Makamee JF-Expert Member Nov 29, 2013 2,029 1,191 Dec 11, 2013 Thread starter #5 Misa said: mbunge wao ni nani? Click to expand... Mbunge ndo afanyeje sasa? Kwani wale waliopelekwa Mabwepande hawana wabunge?
Misa said: mbunge wao ni nani? Click to expand... Mbunge ndo afanyeje sasa? Kwani wale waliopelekwa Mabwepande hawana wabunge?
Makamee JF-Expert Member Nov 29, 2013 2,029 1,191 Dec 11, 2013 Thread starter #6 Ushirombo said: picha plz, hv hadi huko ni tz? Click to expand... Vuta picha ya wale wa bonde la Msimbazi utajua ukubwa wa tatizo.
Ushirombo said: picha plz, hv hadi huko ni tz? Click to expand... Vuta picha ya wale wa bonde la Msimbazi utajua ukubwa wa tatizo.
M Misa JF-Expert Member Jul 5, 2013 838 135 Dec 11, 2013 #7 Makamee said: Mbunge ndo afanyeje sasa? Kwani wale waliopelekwa Mabwepande hawana wabunge? Click to expand... Sawa kaka nimekuelewa vizuri.
Makamee said: Mbunge ndo afanyeje sasa? Kwani wale waliopelekwa Mabwepande hawana wabunge? Click to expand... Sawa kaka nimekuelewa vizuri.
Kiboko. JF-Expert Member Jul 31, 2013 2,891 1,211 Dec 11, 2013 #8 Weka michoro na hayo mabaki ya hzo nyumba afu tupe na source sio unakurupula tu weka kitu kisichokuwa na nyama za kutosha.
Weka michoro na hayo mabaki ya hzo nyumba afu tupe na source sio unakurupula tu weka kitu kisichokuwa na nyama za kutosha.
Makamee JF-Expert Member Nov 29, 2013 2,029 1,191 Dec 11, 2013 Thread starter #9 Kiboko. said: Weka michoro na hayo mabaki ya hzo nyumba afu tupe na source sio unakurupula tu weka kitu kisichokuwa na nyama za kutosha. Click to expand... Wewe ndo aina ya Great Thinkers tulionao humu jamvini? Kazi tunayo
Kiboko. said: Weka michoro na hayo mabaki ya hzo nyumba afu tupe na source sio unakurupula tu weka kitu kisichokuwa na nyama za kutosha. Click to expand... Wewe ndo aina ya Great Thinkers tulionao humu jamvini? Kazi tunayo