Mafurikoo!

Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,029
1,190
Kijiji cha Maweni kata ya Magugu wilaya ya Babati kaya zipatazo 40 hawana pa kuishi baada ya makazi yao kukumbwa na Mafuriko.
Wahanga wahamishiwa ktk madarasa ya shule.
 
Weka michoro na hayo mabaki ya hzo nyumba afu tupe na source sio unakurupula tu weka kitu kisichokuwa na nyama za kutosha.
 
Weka michoro na hayo mabaki ya hzo nyumba afu tupe na source sio unakurupula tu weka kitu kisichokuwa na nyama za kutosha.

Wewe ndo aina ya Great Thinkers tulionao humu jamvini? Kazi tunayo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom