Mafuriko ya Lowassa yana mengi

Mafuriko ya Lowassa yana mengi

Elimu yako ni ndogo sana kifenda unakipato cha kati tuu pia kisiasa hujui siasa.
 
Funga bakuli umetumia kipengele cha katiba sio ipasavyo unaeleza mauwongo, hovyo hovyo endeleeni na fiesta zenu
 
Kwanza napenda ifahamike kuwa, sijashurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote kuandika haya ninayoandika bali natumia haki yangu ya kikatiba katika ibara ya 18(a) ambayo inaniruhusu kutoa mawazo yangu katika msuala mbalimbali.

Kwamba, takribani miezi minne sasa kuna neno limeanza kutumika ambalo kwa taathira yake linahisisha watu wanaomuunga mkono mmoja wa wagombea Uraisi kupitia vyama vinavyounda UKAWA. Neno hilo ni MAFURIKO, wakimaanisha umati wa watu katika mikotano ya kampeni ya Lowasa.

Wafuasi wa Lowasa na hata viongozi wa UKAWA, wamekuwa wakitumia mafuriko hayo kujithibitishia ushindi kuelekea Oktoba 25 huku wakisahau kuwaweka watu hao katika katogoria na/au kusahau hali ilikuwaje mwaka 2010.

Katika kuweka kumbukumbu sawa, mwaka 2010; mgombea Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Slaa alionekana kuwa na mvuto mkubwa kuliko Raisi Kikwete na kwamba mahudhurio ya watu katika mikutano ya Slaa ilikuwa ni mara dufu ya ile ya Kikwete, hata hivyo Kikwete alishinda tena kwa 61%

Kwahiyo, ndio kusema kuwa, hatupati ushindi kwa kuwaangalia mafuriko ya watu mikutanoni kwa maana watu huenda mikutanoni kwa mambo tofauti.

Kwamba, mwaka ule 2010, watu wengi walihudhuria mikutano ya Slaa kwasababu kuu mbili. Mosi walienda mikutanoni kumshuhudia mtu shujaa aliyethubutu kuwataja wezi pale Mwembe Yanga mwezi sept. 2007 bila woga wowote. Pili watu walienda kumshuhudia mbunge machachali aliyelichachafya bunge la jamhuri tangu mwaka 1995. Watu hao waliyenda huku wakiwa na misimamo yao tayari. Hawakubadilika na hatimaye CCM ikashinda.

Mwaka huu 2015, watu wanafurika kwa mambo makuu matano:
1: Kwa mara ya kwanza katika historia ya Dunia; mawaziri wakuu wawili waliosimamia utekelezaji wa miradi na shughuli zote za serikali kwa miaka 13, waliokua na kulelewa na chama tawala; kufanya siasa za upinzani. Hii ina mvuto wake tena hasa pale mawaziri hao wanapohubiri kuwa, ccm haijafanya chochote kwa zaidi ya miaka 50 ilihali wao wenyewe walikuwa wanaserikali kupitia ccm hiyo hiyo. Hii inawafanya watu waende kuwashuhudia watu hao.

2. Watu wanafurika ili wakajihakikishie wenyewe kuwa, eti chama kilichojipatia umaarufu kwa kunadi wizi wa Lowasa; leo kinamsimamisha Lowasa yule yule kugombea Urais. Hii ina mvuto sana. Watu wanafurika kwa sababu hawaamini yanayotokea.

3. Wanafurika kwa sababu ta Helikopita. Wakati fulani nilikuwa huko Mtwara, wilayani tandahimba. Watu walifurika sana sana ila karibu nusu ya mafuriko yale hayakumsikiliza Lowasa wala Sumaye. Bali yalikuwa buzy kushangaa Helikopita.

4. Kujionea afya ya Lowassa. Vyombo vya habari vimekuwa vikiielzea afya ya Lowasa kwa namna tofauti. Hivyo, wanafurika ili kujishuhudia wenyewe.

5. Nikiwa huko Tandahimba nilishuhudia malori, mabasi, maguta, daladala, bodaboda zikiwabeba watu kuwaleta uwanjani Matogoro ambapo Lowassa alihutubia.

Nihitimishe kuwa, nikiwa katika mkutano huo, niliwatafiti baadhi ya wahudhuriaji endapo watampa kura Lowasa au Magufuli. Kati ya watu kumi, 7 walikanusha kumpigia Lowasa ingawa niliwaona wakimshangilia Lowasa. Mpaka sasa sijaelewa kuwa walinidanganya ama walimdhihaki Lowasa kwa kumshangilia. Jibu ni 25 Oktoba.

Kwamba, tofauti ya watu wa Magufuli; nilitathmini katika moja ya mikutano yake na kubaini kuwa 88% ya wahudhuriaji watampugia kura kwani wengi wao wanakuwa ni CCM ni kwasababu ukawa wengi hawaendi kwa magufuli wakiamini kuwa ni walewale tofauti na lowassa ambaye anapata wafuasi wa ccm kwenye mikutano yake

Kamweleze mmeo hizo habari.
Jinga kabisa umenipotezea mda wangu bure,pumba tupu.
 
CHEGE NA TEMBA wananogesha Manyara,CCM imekosa mvuto,bila wasanii hakuna watu na hilo wanalifahamu.
 
CHEGE NA TEMBA wananogesha Manyara,CCM imekosa mvuto,bila wasanii hakuna watu na hilo wanalifahamu.Wananchi ambao hawawezi kulipa kiingilio kumwona Mh Temba ni lazima wajae kuwashuhudia.Huu ndio ukweli unao uma sana.
 
Mimi mwenyewe Lowassa akija Tunduma nitaenda kumshangaa zaidi sababu kama ni sera hana.

Mkuu kumbe hata huko hajaja? jamaa anapatokana mjini make akija vijijini diri zake town zinakwama ..Lowassa ni mla bata tu kama wapigaji wenzie akina karamagi na rostamu ..wazee ya mjini eti ndo waende Ikulu, wanahisi Ikulu ni sehemu ya watalii na wana madiri, wataishia kuisikia
 
kwanza napenda ifahamike kuwa, sijashurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote kuandika haya ninayoandika bali natumia haki yangu ya kikatiba katika ibara ya 18(a) ambayo inaniruhusu kutoa mawazo yangu katika msuala mbalimbali.

Kwamba, takribani miezi minne sasa kuna neno limeanza kutumika ambalo kwa taathira yake linahisisha watu wanaomuunga mkono mmoja wa wagombea uraisi kupitia vyama vinavyounda ukawa. Neno hilo ni mafuriko, wakimaanisha umati wa watu katika mikotano ya kampeni ya lowasa.

Wafuasi wa lowasa na hata viongozi wa ukawa, wamekuwa wakitumia mafuriko hayo kujithibitishia ushindi kuelekea oktoba 25 huku wakisahau kuwaweka watu hao katika katogoria na/au kusahau hali ilikuwaje mwaka 2010.

Katika kuweka kumbukumbu sawa, mwaka 2010; mgombea uraisi kwa tiketi ya chadema, dk. Slaa alionekana kuwa na mvuto mkubwa kuliko raisi kikwete na kwamba mahudhurio ya watu katika mikutano ya slaa ilikuwa ni mara dufu ya ile ya kikwete, hata hivyo kikwete alishinda tena kwa 61%

kwahiyo, ndio kusema kuwa, hatupati ushindi kwa kuwaangalia mafuriko ya watu mikutanoni kwa maana watu huenda mikutanoni kwa mambo tofauti.

Kwamba, mwaka ule 2010, watu wengi walihudhuria mikutano ya slaa kwasababu kuu mbili. Mosi walienda mikutanoni kumshuhudia mtu shujaa aliyethubutu kuwataja wezi pale mwembe yanga mwezi sept. 2007 bila woga wowote. Pili watu walienda kumshuhudia mbunge machachali aliyelichachafya bunge la jamhuri tangu mwaka 1995. Watu hao waliyenda huku wakiwa na misimamo yao tayari. Hawakubadilika na hatimaye ccm ikashinda.

Mwaka huu 2015, watu wanafurika kwa mambo makuu matano:
1: Kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia; mawaziri wakuu wawili waliosimamia utekelezaji wa miradi na shughuli zote za serikali kwa miaka 13, waliokua na kulelewa na chama tawala; kufanya siasa za upinzani. Hii ina mvuto wake tena hasa pale mawaziri hao wanapohubiri kuwa, ccm haijafanya chochote kwa zaidi ya miaka 50 ilihali wao wenyewe walikuwa wanaserikali kupitia ccm hiyo hiyo. Hii inawafanya watu waende kuwashuhudia watu hao.

2. Watu wanafurika ili wakajihakikishie wenyewe kuwa, eti chama kilichojipatia umaarufu kwa kunadi wizi wa lowasa; leo kinamsimamisha lowasa yule yule kugombea urais. Hii ina mvuto sana. Watu wanafurika kwa sababu hawaamini yanayotokea.

3. Wanafurika kwa sababu ta helikopita. Wakati fulani nilikuwa huko mtwara, wilayani tandahimba. Watu walifurika sana sana ila karibu nusu ya mafuriko yale hayakumsikiliza lowasa wala sumaye. Bali yalikuwa buzy kushangaa helikopita.

4. Kujionea afya ya lowassa. Vyombo vya habari vimekuwa vikiielzea afya ya lowasa kwa namna tofauti. Hivyo, wanafurika ili kujishuhudia wenyewe.

5. Nikiwa huko tandahimba nilishuhudia malori, mabasi, maguta, daladala, bodaboda zikiwabeba watu kuwaleta uwanjani matogoro ambapo lowassa alihutubia.

Nihitimishe kuwa, nikiwa katika mkutano huo, niliwatafiti baadhi ya wahudhuriaji endapo watampa kura lowasa au magufuli. Kati ya watu kumi, 7 walikanusha kumpigia lowasa ingawa niliwaona wakimshangilia lowasa. Mpaka sasa sijaelewa kuwa walinidanganya ama walimdhihaki lowasa kwa kumshangilia. Jibu ni 25 oktoba.

Kwamba, tofauti ya watu wa magufuli; nilitathmini katika moja ya mikutano yake na kubaini kuwa 88% ya wahudhuriaji watampugia kura kwani wengi wao wanakuwa ni ccm ni kwasababu ukawa wengi hawaendi kwa magufuli wakiamini kuwa ni walewale tofauti na lowassa ambaye anapata wafuasi wa ccm kwenye mikutano yake

kaka yangu nina mashaka na hiyo elimu yako unayojivunia maana unashindwa kutofautisha kati ya ccm ya 2010 na ccm ya sasa. Pia upinzania wa 2010 ambao vyama vikuu vya upinzani vilisimamisha wagombea urais.pia ccm ilikuwa imesimamisha mgombea ambae alikuwa rais anayeendelea na muhula wa pili.ungekuwa msomi mzuri ungetaza angle ya pili but your research is a very poor research maana hujafanya utafiti wa kutosha bali umesukumwa na ushabiki uliojaa kuchanganikiwa
 
Watanzania wa leo wamejiandikisha, wamepata uchungu wa maisha, hawawezi kosea tena
 
kwani MAGu amekua mchungaji siku hiz?!!
 
mtoa post ni vyema ukatofautisha kati ya watu na wapiga kura.Mwaka 2010 watu wengi walihudhuria mikutano ya slaa na mwaka huu wapiga kura wengi wanahudhuria mikutano ya lowasa.Kumbuka kuwa,mwaka huu ccm imeingia kwenye uchaguzi ikiwa vipande vipande na siyo wamoja.Mwaka huu kuna ukawa ,ambayo haikuwepo mwaka 2010.Nakuomba ,kila mnapofanya utafiti,jaribuni kuwa deep ili mpate majibu yenye tija kwa ccm.

Jina lako lilinipa wasiwasi kuwa "Hamapupuni ganyasukuma gashi omishije" hongera kwa kuchambua kisomi.
 
Kwanza napenda ifahamike kuwa, sijashurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote kuandika haya ninayoandika bali natumia haki yangu ya kikatiba katika ibara ya 18(a) ambayo inaniruhusu kutoa mawazo yangu katika msuala mbalimbali.

Kwamba, takribani miezi minne sasa kuna neno limeanza kutumika ambalo kwa taathira yake linahisisha watu wanaomuunga mkono mmoja wa wagombea Uraisi kupitia vyama vinavyounda UKAWA. Neno hilo ni MAFURIKO, wakimaanisha umati wa watu katika mikotano ya kampeni ya Lowasa.

Wafuasi wa Lowasa na hata viongozi wa UKAWA, wamekuwa wakitumia mafuriko hayo kujithibitishia ushindi kuelekea Oktoba 25 huku wakisahau kuwaweka watu hao katika katogoria na/au kusahau hali ilikuwaje mwaka 2010.

Katika kuweka kumbukumbu sawa, mwaka 2010; mgombea Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Slaa alionekana kuwa na mvuto mkubwa kuliko Raisi Kikwete na kwamba mahudhurio ya watu katika mikutano ya Slaa ilikuwa ni mara dufu ya ile ya Kikwete, hata hivyo Kikwete alishinda tena kwa 61%

Kwahiyo, ndio kusema kuwa, hatupati ushindi kwa kuwaangalia mafuriko ya watu mikutanoni kwa maana watu huenda mikutanoni kwa mambo tofauti.

Kwamba, mwaka ule 2010, watu wengi walihudhuria mikutano ya Slaa kwasababu kuu mbili. Mosi walienda mikutanoni kumshuhudia mtu shujaa aliyethubutu kuwataja wezi pale Mwembe Yanga mwezi sept. 2007 bila woga wowote. Pili watu walienda kumshuhudia mbunge machachali aliyelichachafya bunge la jamhuri tangu mwaka 1995. Watu hao waliyenda huku wakiwa na misimamo yao tayari. Hawakubadilika na hatimaye CCM ikashinda.

Mwaka huu 2015, watu wanafurika kwa mambo makuu matano:
1: Kwa mara ya kwanza katika historia ya Dunia; mawaziri wakuu wawili waliosimamia utekelezaji wa miradi na shughuli zote za serikali kwa miaka 13, waliokua na kulelewa na chama tawala; kufanya siasa za upinzani. Hii ina mvuto wake tena hasa pale mawaziri hao wanapohubiri kuwa, ccm haijafanya chochote kwa zaidi ya miaka 50 ilihali wao wenyewe walikuwa wanaserikali kupitia ccm hiyo hiyo. Hii inawafanya watu waende kuwashuhudia watu hao.

2. Watu wanafurika ili wakajihakikishie wenyewe kuwa, eti chama kilichojipatia umaarufu kwa kunadi wizi wa Lowasa; leo kinamsimamisha Lowasa yule yule kugombea Urais. Hii ina mvuto sana. Watu wanafurika kwa sababu hawaamini yanayotokea.

3. Wanafurika kwa sababu ta Helikopita. Wakati fulani nilikuwa huko Mtwara, wilayani tandahimba. Watu walifurika sana sana ila karibu nusu ya mafuriko yale hayakumsikiliza Lowasa wala Sumaye. Bali yalikuwa buzy kushangaa Helikopita.

4. Kujionea afya ya Lowassa. Vyombo vya habari vimekuwa vikiielzea afya ya Lowasa kwa namna tofauti. Hivyo, wanafurika ili kujishuhudia wenyewe.

5. Nikiwa huko Tandahimba nilishuhudia malori, mabasi, maguta, daladala, bodaboda zikiwabeba watu kuwaleta uwanjani Matogoro ambapo Lowassa alihutubia.

Nihitimishe kuwa, nikiwa katika mkutano huo, niliwatafiti baadhi ya wahudhuriaji endapo watampa kura Lowasa au Magufuli. Kati ya watu kumi, 7 walikanusha kumpigia Lowasa ingawa niliwaona wakimshangilia Lowasa. Mpaka sasa sijaelewa kuwa walinidanganya ama walimdhihaki Lowasa kwa kumshangilia. Jibu ni 25 Oktoba.

Kwamba, tofauti ya watu wa Magufuli; nilitathmini katika moja ya mikutano yake na kubaini kuwa 88% ya wahudhuriaji watampugia kura kwani wengi wao wanakuwa ni CCM ni kwasababu ukawa wengi hawaendi kwa magufuli wakiamini kuwa ni walewale tofauti na lowassa ambaye anapata wafuasi wa ccm kwenye mikutano yake

kwa mjibu wa tafiti ya twaweza magufuli anaugwa mkono na wazee na ambao hawajasoma! sijui ww uko kundi gani!
 
Mkuu kumbe hata huko hajaja? jamaa anapatokana mjini make akija vijijini diri zake town zinakwama ..Lowassa ni mla bata tu kama wapigaji wenzie akina karamagi na rostamu ..wazee ya mjini eti ndo waende Ikulu, wanahisi Ikulu ni sehemu ya watalii na wana madiri, wataishia kuisikia

unatokea wapi wewe? mana hata kuandika hujui. ..hii inadhihirisha kichwani pia ni tupu
 
Kwanza napenda ifahamike kuwa, sijashurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote kuandika haya ninayoandika bali natumia haki yangu ya kikatiba katika ibara ya 18(a) ambayo inaniruhusu kutoa mawazo yangu katika msuala mbalimbali.

Kwamba, takribani miezi minne sasa kuna neno limeanza kutumika ambalo kwa taathira yake linahisisha watu wanaomuunga mkono mmoja wa wagombea Uraisi kupitia vyama vinavyounda UKAWA. Neno hilo ni MAFURIKO, wakimaanisha umati wa watu katika mikotano ya kampeni ya Lowasa.

Wafuasi wa Lowasa na hata viongozi wa UKAWA, wamekuwa wakitumia mafuriko hayo kujithibitishia ushindi kuelekea Oktoba 25 huku wakisahau kuwaweka watu hao katika katogoria na/au kusahau hali ilikuwaje mwaka 2010.

Katika kuweka kumbukumbu sawa, mwaka 2010; mgombea Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Slaa alionekana kuwa na mvuto mkubwa kuliko Raisi Kikwete na kwamba mahudhurio ya watu katika mikutano ya Slaa ilikuwa ni mara dufu ya ile ya Kikwete, hata hivyo Kikwete alishinda tena kwa 61%

Kwahiyo, ndio kusema kuwa, hatupati ushindi kwa kuwaangalia mafuriko ya watu mikutanoni kwa maana watu huenda mikutanoni kwa mambo tofauti.

Kwamba, mwaka ule 2010, watu wengi walihudhuria mikutano ya Slaa kwasababu kuu mbili. Mosi walienda mikutanoni kumshuhudia mtu shujaa aliyethubutu kuwataja wezi pale Mwembe Yanga mwezi sept. 2007 bila woga wowote. Pili watu walienda kumshuhudia mbunge machachali aliyelichachafya bunge la jamhuri tangu mwaka 1995. Watu hao waliyenda huku wakiwa na misimamo yao tayari. Hawakubadilika na hatimaye CCM ikashinda.

Mwaka huu 2015, watu wanafurika kwa mambo makuu matano:
1: Kwa mara ya kwanza katika historia ya Dunia; mawaziri wakuu wawili waliosimamia utekelezaji wa miradi na shughuli zote za serikali kwa miaka 13, waliokua na kulelewa na chama tawala; kufanya siasa za upinzani. Hii ina mvuto wake tena hasa pale mawaziri hao wanapohubiri kuwa, ccm haijafanya chochote kwa zaidi ya miaka 50 ilihali wao wenyewe walikuwa wanaserikali kupitia ccm hiyo hiyo. Hii inawafanya watu waende kuwashuhudia watu hao.

2. Watu wanafurika ili wakajihakikishie wenyewe kuwa, eti chama kilichojipatia umaarufu kwa kunadi wizi wa Lowasa; leo kinamsimamisha Lowasa yule yule kugombea Urais. Hii ina mvuto sana. Watu wanafurika kwa sababu hawaamini yanayotokea.

3. Wanafurika kwa sababu ta Helikopita. Wakati fulani nilikuwa huko Mtwara, wilayani tandahimba. Watu walifurika sana sana ila karibu nusu ya mafuriko yale hayakumsikiliza Lowasa wala Sumaye. Bali yalikuwa buzy kushangaa Helikopita.

4. Kujionea afya ya Lowassa. Vyombo vya habari vimekuwa vikiielzea afya ya Lowasa kwa namna tofauti. Hivyo, wanafurika ili kujishuhudia wenyewe.

5. Nikiwa huko Tandahimba nilishuhudia malori, mabasi, maguta, daladala, bodaboda zikiwabeba watu kuwaleta uwanjani Matogoro ambapo Lowassa alihutubia.

Nihitimishe kuwa, nikiwa katika mkutano huo, niliwatafiti baadhi ya wahudhuriaji endapo watampa kura Lowasa au Magufuli. Kati ya watu kumi, 7 walikanusha kumpigia Lowasa ingawa niliwaona wakimshangilia Lowasa. Mpaka sasa sijaelewa kuwa walinidanganya ama walimdhihaki Lowasa kwa kumshangilia. Jibu ni 25 Oktoba.

Kwamba, tofauti ya watu wa Magufuli; nilitathmini katika moja ya mikutano yake na kubaini kuwa 88% ya wahudhuriaji watampugia kura kwani wengi wao wanakuwa ni CCM ni kwasababu ukawa wengi hawaendi kwa magufuli wakiamini kuwa ni walewale tofauti na lowassa ambaye anapata wafuasi wa ccm kwenye mikutano yake
2010 JK aliupokonya ushindi wa Slaa. Mafuriko yalianzia CCM wakati Lowassa anasaka wathamini na siku alitangaza kugombea. Usiwe mvivu wa kukumbuka. Mbona CCM nao wameiga mtindo wa kufurisha??
 
Natakakuamini kuwa umesurutishwa kuandika kinyume na ulivyo anza mwanzoni kabisa, kama hukusurutishwa hungeliandika utumbo huu.
Kwanza naamini wewe ni fisiem ambao wanaamini watanzania huwa hawabadiliki. Utafiti wako hauna tofauti na ule wa TWAWEZA invalid. Pili ninawasiwasi na ubongo wako ambao tangu umekalili mambo ya 2010 na kuyaleta 2015 kama yalivo bila kujari utofauti wa uwingi wa wapiga kura, mvuto wa wagombea, mwaka huu mwamko wa wapiga kura mwaka huu na pia kupigika kwa mnaotuita malofa pia muungano wa vyama pinzani ukiongeza na matukio ya kisiasa ndani ya nchi tangu ESCROW, TOKOMEZA na KATIBA MPYA kwauchache nisitumie mda mwingi sana kumwambia mtu ambaye hataki kubadika ila mwaka huu wasiokubali kubadilika watabadilishwa na mfumo mabadiko. Kiufupi uliowauliza walikusoma mapema waka kupa fumbo ambalo mpaka leo hujafumbua yaani kati ya 10, 7 saba wa Edward Lowassa la sivyo hutaki kuamini. Na hao unaosema wanasafishwa umekosea wana safiri wenyewe tena kwa pesa zao aina ya usafiri wanaotumia hilo linategemea mahari husika na umhimu wa anakoelekea. Kama ulikuwa unajaribu SIASA basi achana nayo. Swala la uchumi ulionao na elimu halitupi shida maana tunajua Tanzania imebaki na matabaka mawili sasa kwahaya uliyosema bila shaka upo tabaka la fisiem na ndo maana hubadiliki.
 
Kwanza napenda ifahamike kuwa, sijashurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote kuandika haya ninayoandika bali natumia haki yangu ya kikatiba katika ibara ya 18(a) ambayo inaniruhusu kutoa mawazo yangu katika msuala mbalimbali.

Kwamba, takribani miezi minne sasa kuna neno limeanza kutumika ambalo kwa taathira yake linahisisha watu wanaomuunga mkono mmoja wa wagombea Uraisi kupitia vyama vinavyounda UKAWA. Neno hilo ni MAFURIKO, wakimaanisha umati wa watu katika mikotano ya kampeni ya Lowasa.

Wafuasi wa Lowasa na hata viongozi wa UKAWA, wamekuwa wakitumia mafuriko hayo kujithibitishia ushindi kuelekea Oktoba 25 huku wakisahau kuwaweka watu hao katika katogoria na/au kusahau hali ilikuwaje mwaka 2010.

Katika kuweka kumbukumbu sawa, mwaka 2010; mgombea Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Slaa alionekana kuwa na mvuto mkubwa kuliko Raisi Kikwete na kwamba mahudhurio ya watu katika mikutano ya Slaa ilikuwa ni mara dufu ya ile ya Kikwete, hata hivyo Kikwete alishinda tena kwa 61%

Kwahiyo, ndio kusema kuwa, hatupati ushindi kwa kuwaangalia mafuriko ya watu mikutanoni kwa maana watu huenda mikutanoni kwa mambo tofauti.

Kwamba, mwaka ule 2010, watu wengi walihudhuria mikutano ya Slaa kwasababu kuu mbili. Mosi walienda mikutanoni kumshuhudia mtu shujaa aliyethubutu kuwataja wezi pale Mwembe Yanga mwezi sept. 2007 bila woga wowote. Pili watu walienda kumshuhudia mbunge machachali aliyelichachafya bunge la jamhuri tangu mwaka 1995. Watu hao waliyenda huku wakiwa na misimamo yao tayari. Hawakubadilika na hatimaye CCM ikashinda.

Mwaka huu 2015, watu wanafurika kwa mambo makuu matano:
1: Kwa mara ya kwanza katika historia ya Dunia; mawaziri wakuu wawili waliosimamia utekelezaji wa miradi na shughuli zote za serikali kwa miaka 13, waliokua na kulelewa na chama tawala; kufanya siasa za upinzani. Hii ina mvuto wake tena hasa pale mawaziri hao wanapohubiri kuwa, ccm haijafanya chochote kwa zaidi ya miaka 50 ilihali wao wenyewe walikuwa wanaserikali kupitia ccm hiyo hiyo. Hii inawafanya watu waende kuwashuhudia watu hao.

2. Watu wanafurika ili wakajihakikishie wenyewe kuwa, eti chama kilichojipatia umaarufu kwa kunadi wizi wa Lowasa; leo kinamsimamisha Lowasa yule yule kugombea Urais. Hii ina mvuto sana. Watu wanafurika kwa sababu hawaamini yanayotokea.

3. Wanafurika kwa sababu ta Helikopita. Wakati fulani nilikuwa huko Mtwara, wilayani tandahimba. Watu walifurika sana sana ila karibu nusu ya mafuriko yale hayakumsikiliza Lowasa wala Sumaye. Bali yalikuwa buzy kushangaa Helikopita.

4. Kujionea afya ya Lowassa. Vyombo vya habari vimekuwa vikiielzea afya ya Lowasa kwa namna tofauti. Hivyo, wanafurika ili kujishuhudia wenyewe.

5. Nikiwa huko Tandahimba nilishuhudia malori, mabasi, maguta, daladala, bodaboda zikiwabeba watu kuwaleta uwanjani Matogoro ambapo Lowassa alihutubia.

Nihitimishe kuwa, nikiwa katika mkutano huo, niliwatafiti baadhi ya wahudhuriaji endapo watampa kura Lowasa au Magufuli. Kati ya watu kumi, 7 walikanusha kumpigia Lowasa ingawa niliwaona wakimshangilia Lowasa. Mpaka sasa sijaelewa kuwa walinidanganya ama walimdhihaki Lowasa kwa kumshangilia. Jibu ni 25 Oktoba.

Kwamba, tofauti ya watu wa Magufuli; nilitathmini katika moja ya mikutano yake na kubaini kuwa 88% ya wahudhuriaji watampugia kura kwani wengi wao wanakuwa ni CCM ni kwasababu ukawa wengi hawaendi kwa magufuli wakiamini kuwa ni walewale tofauti na lowassa ambaye anapata wafuasi wa ccm kwenye mikutano yake

Ni kweli Slaa alikuwa na mvuto kuliko kikwete na ni kweli kikwete alishinda kwa 61% kwa mjibu wa Tangazo la Tume ya uchaguzi.

Naomba utambue kwamba watu walio kuwa wanajaa kwa Slaa walikuwa wanataka mabadiriko lakini wengi sana hawa kuweza kumpigia kura slaa sababu hawakuwa na sifa ya kupiga kura,Daftari lilikuwa halijaboreshwa.

Tangu mwaka 2004 mpaka leo 2015 ndipo tume imeandikisha tena, na wamefanya hivyo katika kipindi sahihi kabisa.

Kuna wapiga kura wengi sana ambao hawakuwa wameandikishwa ktk kipindi hicho cha miaka 10, na karibu 90/%ni vijana wapenda mabadiriko wenye hasira ya kunyimwa haki ya kuchagu viongozi wao naTume ya uchaguzi kwa kutoboresha daftari wakaishia kujaa kwenye mikutano kusikiliza sera za chama cha huyo uliyemtaja dr.Slaa, lakini wakakosa sifa ya kumchagua.

Safari hii kama haki itatendeka matokeo yatakuwa tofauti kabisa na mazoea kwa chama tawala. Upinzani unaenda kushinda bila tabu yoyote.

Hii hamasa unayoiona safari hii ni kwa sababu sasa kila mtu amejiandikisha anauhakika wa kupiga kura. Watu walikuwa wanashindwa kushiriki mikutano kwa kuona wanapoteza muda sababu hawataweza kuchaguwa kwa kuwa hawakuwa wamendikishwa.

Ngoja tusubiri tarehe 25/10 siyo mbali, tutapata majibu.
 
basi poa tukutane tar 25. usishangae ata huyo magufuli kumpa kura Lowassa. ni uwendawazimu kujifanya kuwa hujui karibia asilimia 70 ya hao unaojua wako ccm watampa lowassa kura zao. kazi kwako
 
Back
Top Bottom