Mafuriko ya kutengeneza Jangwani

Wewe na chemical Ali ni mtu na mdogo wake.... Watu wako uani we bado unajifariji!!!
 
Hii ndio hali halisi ya Leo Jangwani. Picha nimeichukua Mimi laivu
 
Watoto wa Ba MwanaAsha leo kila kitu kimeinama
 
[h=3][/h]

[h=3]UKAWA YA GONGA KISIKI JANGWANI, LOWASSA AIZIKA CHADEMA[/h]

Hebu tujikumbushe yalio tokea leo Jangwani na yaliyo semwa na Loassa mgombea wa Ukawa aka Chadema.
1: Lowassa amesema atamtoa Babu Seya akiwa Rais. Je huko sio kuingilia utawala wa sheria? Je ana uhakika gani alisingiziwa? Hivi ndio vipaumbele vya serikali kwenye nchi yenye matatizo kiasi hichi? Tokea lini Lowassa amekua hakimu? Je, na wafungwa wengine atawaachia huru?
2: Lowasa kasema atatuletea/kumfufua Balali, sasa najiuliza si watuambie leo hii yuko mji gani ama nchi gani na kwanini asubiri awe raisi ndio watuletee Balali? Hichi nacho ni kiapumbele? Au hii ndio ilani ya UKAWA?
3: Lowasa kasema eti, elimu itakuwa bure! Kuanzia primary-University lakini ameshindwa vibaya sana kusema fedha zitatoka wapi? Hivi, wakati wa Nyerere nani alilipia elimu?
4. UKAWA wamekiri wao ni ma lofa kutokana na t-shirt walizotengeneza na kuuza uwanjani lakini hapo hapo wameambiwa wakasome hotuba ya mgombea Urais mtandaoni je kama ni kweli ni ma lofa wana access ya internet? Kulikuwa kuna aja gani ya mkutano kama mngeweka vitu vyote online? Vipi kuhusu wazee wa Mashambani, nao waingine dot com kusoma ilani?
5. Ukawa wametuhakikishia kuwa hawana sera wala ilani zaidi ya kufukuza upepo.
6. Ukawa wamebakia kumjibu Mtaafu Rais Mkapa ambaye aliwateka Kisaikologia na kuwa gumza la Ukwa leo Jangwani.




 
Mafuriko lazima yawepo kwani vyama vitano na bado watu wametoka mikoani,tafuteni kura sio uwingi wa watu
 

Kwa nilivyosikia.(maana sikuwepo) hizo kauli kama vile umezinukuu ndivyo sivyo.

Labda hiyo ya elimu bure.Maana hizo nyingine kazigusia baada ya sauti za wananchi/malofa kusikika zikiwataja watu hao.Nisiende mbali sana..Angalia marudio labda utaelewa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…