Zaidi ya kaya 150 kata ya nzovwe Mbeya mjini wamepata maafa ya mafuriko.
Hivyo serikali najua ilivyosikivu itawasaidia kwa haraka sana wananchi.,
Km iliwezekana msumbiji kwann washindwe Tz
Zaidi ya kaya 150 kata ya nzovwe Mbeya mjini wamepata maafa ya mafuriko Leo,.

Helicopters hazijarudi kutoka katika ugawaji wa misaada ya kibinadamu nje ya nchi. Msubiri kwanza. "Afutaroo" serikali iliwakataza msiliamshe tetemeko huko kwenu.
Zaidi ya kaya 150 kata ya nzovwe Mbeya mjini wamepata maafa ya mafuriko Leo,.
Hivyo serikali najua ilivyosikivu itawasaidia kwa haraka sana wananchi.,
Km iliwezekana msumbiji kwann washindwe Tz
Hivi huwa una matege kichwani? Facilities za huduma zinamilikiwa na nani? Magari ya huduma, vyakula vya msaada,mavazi na hata kodi inayokusanywa,vyote vipo kwa nani? Vyama au serikali? Tumia hiyo akili haiwezi kuisha kama mandazi.