Nenda kariakoo wanauza plate zake mpya ni laki 5 moja used 2.5-4.5 kutegemea na hali na ukubwa kuna myembamba na size ya kawaida. Kuna plate za maua ya urembo wa kati na pembeni... kuna fiber yarn ni nyuzinyuzi zinazotumika kuimarisha mkanda au urembo usivunjike na gypsum powder.
Baada ya kuwa na hivyo vifaa unatakiwa kuwa na pipa la maji, mabeseni ya kuchanganyia powder, meza ndefu na eneo la kivuli kuning'inizia mikanda wakati wa kukausha.