mie nimeuliza si kwamba nimeona nafasi la hasha ila naitaji kujuzwa
Mbona wametoka juzi juzi tuu then utaweza mikiki mikiki ya kina nguvu ya nyani ww waulize watu wa uhamiaji walishazira kupeleka watu wao kule magereza wako vzr sana interm of training so kama upo tayal jipange kwenda kiwira ukapambane na baridi ya kule
Nguvu ya nyani yupo poa sana ukimjulia sema huwa anajifanya chizi wakati mwingine mpaka anajipiga nua.
Yeah kumbe unamjua anatisha pamoja na rolaa nkunda hatari tupuu
Nimemuacha Nguvu ya nyani staff sijui sasa hivi ana cheo gani.
Mbona wametoka juzi juzi tuu then utaweza mikiki mikiki ya kina nguvu ya nyani ww waulize watu wa uhamiaji walishazira kupeleka watu wao kule magereza wako vzr sana interm of training so kama upo tayal jipange kwenda kiwira ukapambane na baridi ya kule
niko tayr nachoitaji kujua gharama za mafunzo na ni kwa mda gani pia huwa wanaweka matangazo yao ya kuita usajiri katika websites gan??