Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Till when, tuliambiwa wiki moja, chama kimedanganya umma!Wait and see,sio unaharisha!!!!!!
Tetesi kutoka ndani ya chama.Chanzo cha habari umetoa wapi?. mia
Wakati mnatangaza hamkujua kuna jkt?Tumeona hamna haja maana kuna vijana wameenda jkt baada ya kumaliza form six na wote ni CHADEMA!
Tetesi kutoka ndani ya chama.
Lazima utakuwa mgeni wa JF, hiyo prefix iliwekwa kwa sababu gani?JF hawadiscuss tetesi
Lazima utakuwa mgeni wa JF, hiyo prefix iliwekwa kwa sababu gani?
Acha porojo, jibu kwa nini chama chako kimewadanganya watanzania:wave::wave::wave::wave: thread imejaa pumba na mashudu
Kama si chama chako inakuhusu nini? Au ndio ushambenga? Pelekeni "sample" ya vyeti vya mafunzo ya Green Guard kwa Tendwa hajui wanafundishwa nini.Acha porojo, jibu kwa nini chama chako kimewadanganya watanzania
Till when, tuliambiwa wiki moja, chama kimedanganya umma!
Taarifa nyeti kutoka
ndani ya chadema zinasema ahadi ya mafunzo imekwama kutokana na ugumu wa
kisheria pamoja na uwezo wa kifedha unaoikabili chama kwa sasa. Je,
wakati chadema kinatangaza kuanzisha mafunzo ndani ya wiki moja
hakikujua ugumu wake? kilikurupuka?