Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 636
- 540
- Thread starter
-
- #381
Kwa wale wanaouliza kihusu size ya kujenga greenhouse zao, ni kuwa ile size ya 5x15 huwa ni standard size ila sio lazima ujenge hiyo, unaweza jenga size yoyote ile hata kama ni hatua 5 kwa 6. Unajenga kutokana na urefu wa mfuko wako.
Km utataka kujua utapata kiasi gani cha mazao ktk gh yako, tuseme mfano unalima nyanya, kila square meter ya gh yako unapanda miche 4 ambapo kila mche utakupa kilo 100 za nyanya kwa kipindi chote cha msimu ambao ni miezi saba. So kwa sq m moja utapata kilo 400 ktk miezi saba ambayo km ukiuza kila kilo ktk bei ya sasa ya sh. 1,500 utapata sh. laki sita kwa kila sq m moja. km una gh ya 5x6 then una sq m 30 x 600,000 = 1,800,000
Mkuu,
thread yako is very useful, lakini sidhani kama ukitaja raw materials basi utaibiwa ujuzi wako..
Hata hivyo ili uitwe mkaa (wa kutoa nishati) ni lazima miti ihusike.. Zaidi ya hapo si mkaa ni kitu kingne..
Sikupondi, ila najaribu kufikiri unapomwambia mtu njoo ulipie upate mafunzo, halafu husemi raw materials ni zipi, unadhani atajuaje kama na mazingira yake zipo?? Akilipia akaja kwenye mafunzo na kugundua hana access na hzo materials hela utamrudishia? Labda kama raw materials ni maji au hewa whch is everywhre..
Zaidi ya hapo be smart!
All the best in 'collection'..
I need that training ila sijajua kama hiyo 45,000 ni ya kumfundisha mtu mmojammoja au mpaka wawe kwenye kikundi namaanisha nikija peke yangu utanifundisha au mpaka tuwe wengi? ntakuchek kwa cm yako
Heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka watu wote
Habari yako mkuu , mimi naomba kujua bei ya huo mkaa kwa gunia ni bei gani. Bei ya jumla