wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
soma maelezo vizuri ukishaelewa utafanya mawasilianoboksi unalo
[emoji23] [emoji23] ila ndugu yangu kuwa makini wala mobile software huiweziSasa haujaeleweka unalipisha au bure?!
unaweza pia , kujifunza ila utakosa mazoezi unapotoka darasani karibu ukihitaji tuma email utapata ratibaIko POWa. Nahitaji hyo kitu. Vipi kama sina laptop!?
nafundisha pia kwa walio mbali online ila utalazimika kulipia nahitaji kunyanyuana na vijana wenzangu . naweza somesha remotely ukiwa na intertnetNjoo na uku mbeya bosi
kama umeshaanza kuflash na una idea naweza kukusaidia ukiwa huko huko kupitia onlineNjoo na uku mbeya bosi
upo wapi ndugu naweza kukusaidia hata ukiwa mbali muhimu uwe na internetImekaa poa, ningekuwa karibu ningekua mmoja wa wanafunzi wako
Kwa sasa nipo Arushaupo wapi ndugu naweza kukusaidia hata ukiwa mbali muhimu uwe na internet
nipigie simu tutaelekezana namna ya kufanyaKwa sasa ni Arusha