Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,438
- 3,951
Wana jamii habarini. Naomba msaada wa kujua ni wapi naweza nikapata mafunzo ya kinanda au keyboard ya mziki hapa arusha mjini. Hata kama ni mtu binafsi ila anifundishe kitaalam na awe na kinanda chake. Shukran