Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 624
- 548
Ok,
Inawezekana kua kwa kusema kitabu chako kinaongelea jinsi ya kuanzisha greenhouse kwa laki 5 ni mbinu tu ya kuuza kitabu?
Ili ku-justify kwamba it is possible, waweza kutoa hata picha tu ya hiyo greenhouse ya laki 5??
Abdulatif alituambia ni Tshs 2.5Mil na aliweka picha, maelezo, tukamuona kwa TV akielezea, mwishowe tukamtembelea Mwikwambe Kigamboni kujionea "Live"!!
Lakini Mkuu ukituuzia tu kitabu bila maelezo na mafunzo ya ziada, wengi wetu tutashindwa!! Ni sawa na mwanafunzi umpe tu kitabu akajisomee aje apige pepa, no lecture, no discussion, no whatever!!
Mkuu sana Masanja mfumo wetu umetuandaa hivyo, kuna kasoftware kadogo kanatakiwa kuwa installed kwenye mind zetu kufuta hii mentality, na nina hofu kama hii litawezekana kwa sasa maana ukweli ni kwamba mlinganyo wa maisha kati ya aliye nacho asiye nacho na mwenye kidogo ni mkubwa mno ambapo kwa mwanahisababti utakuwa una unknown tatu za kutafuta wakati dta ulizonazo zinasuit kutafuta unknown mbili...
Kuna mambo ambayo wananchi hatutaepuka lawama kwa kuyaacha yajiendee ovyo tu,mfano kutupa taka hovyo na kufanya shughuli ambazo zinablock miundombinu mathalan ambapo baadaye ikitokea dharura yoyote rescue dudes wanashindwa kumwokoa victim..
Wengi wetu tumejikuta tumezaliwa na kwamba tumesoma elementary school kwa sababu ilikuwa desturi tu ya watoto wenye umri wa kwenda shule waende, na tukajiendea tu....Tulipohitimu darasa la saba tukajikuta tupo sekondari, kwa kuwa tulichaguliwa ili tusiwe chokoraa mitaani ila baada ya kupata ka exposure kadogo ikabidi kujituma kidogo ili wadogo zetu mtaani wasituone mbumbumbu kwa kushindwa kuingia kidato cha tano...tukaenda na tukajikuta vyuoni kwa namna ile ile ya msaragambo....
Tokea siku ya kwanza ya elimu ya chuo kikuu hadi siku ya mwisho ya elimu ya shahada ya kwanza, ni tambo tu za wakufunzi na historia za nchi walizosoma na ama maisha waliyoishi wakiwa masomoni, wataende mbele zaidi kwa kukuambia kwamba wanakuandaa ili ukajiajiri mwenyewe huku wakisahau wapo chuoni kimkataba baada ya muda wao wa kufanya kazi (kuajiriwa) umepita na kwamba pamoja na nadharia yao ya kukuandaa kujitegemea ila yeye si muumini wa nadharia husika. Unamaliza unaingia mtaani ukiwa na kakiburi cha usomi, na maisha ya kisomi somi...Guess what!
Ndiyo mwanzo wa kuanza kuona serikali haijafanya hili na lile,ndo mwanzo wa kuvishwa chuki za kisiasa, ndo mwanzo wa kuanzisha vijikundi vya kugombana na serikali, ndo mwanzo wa umasikini na kuvunja sheria, ndiyo mwanzo wa kuwa mwenyeji wa mahakani. Na kwa kuwa maisha hayagandi bado uzazi utaendelea, unategemea kizazi kinachozaliwa kwenye vurumai hili kuwaje...nikisema Mtanzania wa kawaida siilaumu serikali ya bwana mkubwa, ni mfumo umetufikisha tulipo..and offcourse we enjoyed ride!
Maridadi kabisa. And thats my point.
Tumekuwa taifa la walalamishi, ujanja ujanja, mkato mkato....wizi pety pety.....yaani hatujitambui..kuanzia kwa viongozi mpaka kwetu wananchi. Lakini kikubwa zaidi..ni kipi kifanyike kuaddress hili tatizo? Mi naamini lazima tuanze kwa kubadilika kifikra. Angalia hata humu JF..kuna watu wakisikia unacomment against their belief in CCM or Chadema or whetevver party..unaonekana msaliti..huna shukrani kwa serikali sikivu! Jana nilibahatika kuangalia bunge na michango ya wabunge! Specifically nilimwangalia msomi Omar Nundu (I didnt know the dude had been a minister)..Yaani I felt very sorry for myself and my country. Yaani jamaa anaongea pumba ni hakuna mfano! Yaani nilikubali ule msome kwamba..some people appear smart until you hear them speak.
I mean wengi wetu tumeshajikatia tamaa kabisa....Lakini is it true kwamba hatuwezi kubadilika? tujadili hili.
Tujue kabisa kwa kila maamuzi tuyafanyayo...lazima kuna consequences. The only way the poor can engage in deliberative dialogue in society such as ours..is to be responsble kwenye maamuzi muhimu kama ya kuchagua viongozi na kuwawajibisha. These viongozi are damn tired na wameshiba mpaka wamejisahau. Unajua wenzetu wanasema stupidity..is doing something over and over again..expecting different results. TuNAFANYA UJINGA ULE ULE tukitegemea mambo yatabadilika.
Naamini ni muhimu hata mitaala yetu ya kishule tuibadilishe kwa namna fulani kuendana na hali halisi. Imagine mtu ana div. four ndo anachaguliwa ualimu. Juzi jamaa ananiambia..bro..nimefeli form four hebu nifanyie mpango wa upolisi au Jeshi!!! Means hizo fani ni za failures! Mkuu kama tumefikia huko na bado hatulioni huoni hatari?
Ndo maana mkuu..leo ukiendesha gari zuri au ukajenga nyumba nzuri..watu wanajua umeiba.....maana hata viongozi wetu..wametuonyesha kwamba kufanikiwa lazima uibe kodi za raia. Sad indeed.
Lakini ideas kama hizi za akina Msimbe..can change one's life positively kabisa..sema wengi wetu tumekata tamaa na I really hope tutabadilika.
Masanja
Some thing is wrong.
There is a doubting Thomas for everything on earth. Na ukitafuta sababu ya kutofanya jambo talikosa. Ningependa kukukaribisha kwangu shambani eneo la Nairobi ukaone production ya kila wiki kisha upate imani. 20tons in a year with proper management and with following agronomy instructions is quite conservative.Too GOOD too be true! Lakini wabongo walivyo mambulula mtakamata wengi!
Ile 5million ni ya materials na mbegu na kujengewa. Sehemu ya Mbinga utalipia gharama ya usafirishaji wa materials kwa basi. Kisha wale engineers wakija pale kwako tunakuhisi uwashughulikie malazi na chakula. Kazi ya kujenga inachukua siku 4-5nataka kujua hata mtu akiwa kijijini ndani kiasi gani bei ni hiyohiyo 5millioni?
maana mimi natoka mbinga litui huko ndani kabisa so bei ni hiyo moja ama?
majibu tafadhali
Yaani nikishaona mtu katika biashara zetu za kawaida anaingiza mawazo ya kina Adam Smith, Mara sijui return of investment, accounting rate of return na mengine kama hayo, huyo hata umpe 1,000,000,000 afanye biashara kesho yake tu anafilisika. Na kawaida watu hao wengi unawakuta ana MBA au amesomea "masomo ya biashara", anadhani biashara ni vitabu, kibongobongo wanaotoboa katika biashara hata Adam Smith hamjui wala Hana mpango wa kumjua milele! Muuzlie S.H. Amon kama anamjua Adam Smith!
KWA NINI UWE MASKINI?
JE, UNGEPENDA KUVUNA NYANYA NYINGI KILA WIKI NA KUJIPATA KIPATO KIKUBWA KUPITIA KILIMO CHA GREEN HOUSE?
View attachment 165705
Team ya AMKA NA BADILIKA ya CONSNET GROUP ikishirikiana na wataalamu wa GREEN HOUSE katika maeneo ya joto AFFORDABLE GREENHOUSE kutoka Kenya wanapenda kukujulisha kuwa unaweza kujengewa GREEN HOUSE ya ukubwa wa Mita 8 kwa Mita 15 na kupanda mazao upendayo ya bustani kama Nyanya; Pilipili Hoho; Vitunguu; Bilinganya; Vitunguu; Matango nk ambayo yanaweza kukupatia zaidi ya tani zaidi ya 20 kwa Mwaka na kukuingizia kipato kikubwa.
Kujengewa GREEN HOUSE moja ya 8M X 15 M (Kutumia mirunda na mbao za dawa) ni TZS 5.0 Millions Tu na unajengewa katika kipindi cha wiki 2 pamoja na kupandiwa mazao. Pesa hiyo inahusisha mbegu za kisasa, mbolea, madawa, kupima udongo na maji maabara, tank la lita 1000, drip irrigation system, na mafunzo na kujengewa.
Kwa sasa zipo KITS za kutosha za Green House. Kama utapenda kujengewa Green House na bajeti iko tayari, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba: +255 755 285 023.
There is a doubting Thomas for everything on earth. Na ukitafuta sababu ya kutofanya jambo talikosa. Ningependa kukukaribisha kwangu shambani eneo la Nairobi ukaone production ya kila wiki kisha upate imani. 20tons in a year with proper management and with following agronomy instructions is quite conservative.
mkuu njuguna hakuna anaye bisha na uzuri wa horticulture zenu, after all kenya mna uzoefu wa siku nyingi katika miradi hii,isitoshe mazao yenu mnauza huko ulaya - ukienda kwenye supermarket za huko unakuta bidhaa kutoka kenya na south africa, hatujui kama mazao hayo yanatoka kwenye farms za white farmers au waswahili (wafrica) wenzetu wa huko kenya, tuwe wakweli hapa, wazungu wanaweka mikwala sana kwenye bidhaa za mboga mboga na matunda kutoka africa, ndio maana wanakubali bidhaa za kenya na south africa kwa kuwa wanajua kuna wakulima wazungu wenzao huko.
Ndugu njuguna na ndugu msimbe hebu tuhakikishie soko la kuaminika wa zao hili alafu uone wanachi watakavyo hamasika in droves, ndugu njuguna tuhakikishie kwamba mna uwezo wa kukodi cargo planes za kusafirisha nyanya huko ulaya, middle east na merikani na zikakubarika kununuliwa na hypermarkets za huko bila mikwala.
Tatizo letu siasa imetuathiri, ingia kwenye youtube search kilimo biashara utaniambia ni uongo au ni nafasi yako kuachana na umaskini wa kujitakiaWaganga wa kienyeji bana? unaenda kwake akufanye uwe tajiri wakati yy hana kitu? y mstajirike wenywe kwanza tukaona?
mnaingiza watu chaka na biashara zenu
Ondoa shaka mkuu, soko la africa mashariki bado hatujalimudu, biashara hiyo bado inaweza kukutoa katika level ya soko la ndani, ninafahamu wakulima wanaondesha maisha ya kitajiri kwa kilimo cha matikiti na hoho kwa kutegemea tu soko la ndani, watoto wanasomo international school sio english media school.Mkuu Njuguna hakuna anaye bisha na uzuri wa horticulture zenu, after all Kenya mna uzoefu wa siku nyingi katika miradi hii,isitoshe mazao yenu mnauza huko Ulaya - ukienda kwenye Supermarket za huko unakuta bidhaa kutoka Kenya na South Africa, hatujui kama mazao hayo yanatoka kwenye FARMS za White farmers au Waswahili (Wafrica) wenzetu wa huko Kenya, tuwe wakweli hapa, wazungu wanaweka mikwala sana kwenye bidhaa za mboga mboga na matunda kutoka Africa, ndio maana wanakubali bidhaa za Kenya na South Africa kwa kuwa wanajua kuna wakulima wazungu wenzao huko.
Ndugu Njuguna na Ndugu Msimbe hebu tuhakikishie soko la kuaminika wa zao hili alafu uone wanachi watakavyo hamasika in droves, Ndugu Njuguna tuhakikishie kwamba mna uwezo wa kukodi cargo planes za kusafirisha Nyanya huko Ulaya, Middle East na Merikani na zikakubarika kununuliwa na hypermarkets za huko bila mikwala.
nlikua natafuta sana fursa hii ya green house.nina eneo langu vikindu sitaki liendelee kuwa wazi bila kuzalisha kitu.
hamna maji ila nta drill alaf ntakua nayapampu na generator.
swali langu ni kwamba hiv ni lazma kuwe na umeme wa uhakika kwa ili ku- maintain hali ya hewa kwenye green house ukizingatia kua vikindu ni joto na green house zina joto?
naomba jibu mtaalam maana nlitaka kuagiza china ila nikagundua kua kwa hiyo kampuni niliyokua nawasiliana nayo ni lazima niwe na umeme wa uhakika ndo ntaweza kutumia hizo GH zao.sasa hizi zinazosemwa hapa nazo pia ni lazima umeme?
Tatizo letu siasa imetuathiri, ingia kwenye youtube search kilimo biashara utaniambia ni uongo au ni nafasi yako kuachana na umaskini wa kujitakia
Nimeupata ushauri wako, ni mzuri. Umefikia wapi na greenhouse yako baada ya kumtembelea huyo jamaa?