Mafunzo ya jinsi ya kutabasamu

hahahhaaaaaa mie nacheka tu sikuzote bhana sina haja ya kutabasamu huku mfukoni sina kitu
 
Mafunzo haya nadhani wangepewa ma-Miss Tz. Maana wao huwa hawacheki wala hawatabasamu bali hukenua meno.
 
Mafunzo haya nadhani wangepewa ma-Miss Tz. Maana wao huwa hawacheki wala hawatabasamu bali hukenua meno.

ha ha ha ha nimecheka sana. hivi kukenua menu ndio kufanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…