Mafunzo ya English ya kuzungumza

Mafunzo ya English ya kuzungumza

Batumunwa

Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
7
Reaction score
4
Naombeni msaada waungwana wa JamiiForum .

Nina amini humu kuna watu wenye taarifa .

Naomba msaada nahitaji kufahamu je mtu gani au taasisi gani inayo weza kutoa mafunzo ya kuzungumza lugha ya kiengereza kwa ufasaha zaidi tu . Pamoja na gharama zao na mahara wanapopatikana
 
Back
Top Bottom