Mafunzo ya computer na IT

Mafunzo ya computer na IT

kingphisher

Senior Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
119
Reaction score
226
Husika na mada tajwa hapo juu, mimi ni part-time-employed katika sekta ya IT. nina bachelor degree ya Business Information Technology.

nimekuwa nikitoa mafunzo ya computer kwa ujumla na IT kwa wanaotamani kujua na kujifunza computer.
kuna ambao hawajapata nafasi ya kusoma haya mambo ya computer, ila wanatamani kujifunza na kujua.
jamani,kwa sasa sina offisi, ila huwa nawafuata wateja (wanafunzi wanahohitaji huduma zangu).

mafuzo ambayo nafundisha ni kama:
kufundisha programming. (namna ya kuandika programe ) inayokusaidia kutengeneza mifumo (websites and complex system)
kundisha computer (MS OFFICE; EXCEL, WORD, POWER POINT, GOODGLE DRIVE & GOOGLE FORMS/SHEET PAMOJA NA MATUMIZI YA AI)

kufundisha "Database management"
kufundisha ethical hacking.
kufundisha graphic design kwa kutumia canva.

sitoi cheti, bali nafundisha wanaohitaji kujua IT.
WebPosterUpdate.png
 
Back
Top Bottom