Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,024
- 2,455
Anaejua mafunzo ya ADDO mkoani mbeya yanatolewa katika vituo gani na gharama zake naomba anisaidie.
vigezo gani vinahitajika ,na wanakuja limi boss?Wanakuja mkuu vumilia kidogo!
Kweli aende kwa mfamasia wa mkoa atapata maelekezo na miongozo yoteHaya mambo hayahusiani humu chamsingi nenda ofisi za wizara ya afya kanda au kwa mfamasia wa mkoa utapata taarifa sahihi
shukraniHaya mambo hayahusiani humu chamsingi nenda ofisi za wizara ya afya kanda au kwa mfamasia wa mkoa utapata taarifa sahihi