Hapo wapo na mwanamke mwenzao kimaana, ila ni mwanaume kijinsia.Ni kweli wanawake ni viumbe dhaifu na sasa hivi wajasiriamali kwa njia ya semina wanakula hela zao hasa.
Hebu oneni huyu jamaa anavyowapotosha wamama wa watu.
Majitu Kama hayo yanatakiwa kupigwaJizi hilo
Siku mke wangu akiniaga anaenda kusikiliza ujinga huu. Nje atakuta kirukuu kina vyombo vyake alivyopewa kwa wambea wenzie.Ni kweli wanawake ni viumbe dhaifu na sasa hivi wajasiriamali kwa njia ya semina wanakula hela zao hasa.
Hebu oneni huyu jamaa anavyowapotosha wamama wa watu.